kwanza kabisa dawa ni sheria zilizoko zifanye kazi kwa haki, watu wanapopatikana na hatia adhabu itoke kwa wakati. Mtindo wa siasa kuanzia jan hadi dec ukome. Kila mtu ajue wajibu wake. Jeshi la polisi lipitiwe upya na kuwe na sifa ya ufahamu na uzalendo ni kigezo cha kazi. Mazingira ya polisi yaboreshwe.