Makanisa kila mtaa.!

Makanisa kila mtaa.!

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Jamaa mmoja baada ya kukaa miaka mingi bila kwenda kanisani, katika pitapita yake akaona kibao cha redcross, akaingia akauliza, eti hapa ibada huwa inaanza saa ngapi? Wale jamaa mle ndani wakabaki mdomo wazi wakishangaa.!

Ehee wala hakukosea! Kwan hamjawah kusikia kanisa linaitwa truecross,fulgospel,calvarycros,overcome, na truegod.....?

Ehee wala hakukosea! Kwan hamjawah kusikia kanisa linaitwa truecross,fulgospel,calvarycros,overcome, na truegod.....?

Mh, LIVING something or HOLY what sijui! Very colourful names, lakini hakuna ki2. Kanisa moja tu, R sumthin. Mengine ya watafuta ridhiki.

Mh, LIVING something or HOLY what sijui! Very colourful names, lakini hakuna ki2. Kanisa moja tu, R sumthin. Mengine ya watafuta ridhiki.

Acheni umbeya wa ki shetani humu jamvini mbona vibanda vya chakula na pombe vinafunguliwa kila siku lakini hamsemi? Zaidi mnajazana huko na kukopa na ikifunguliwa bar
mpya mnahamia huko na kwenda kukopa tena. Makanisa yakianzishwa mnaona nongwa hebu acheni watumishi wambabadue shetani na mapepo yake

Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbavu sina.......................................

Back
Top Bottom