Makange ni nini?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nini maana ya neno makange? Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za Diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
 
Kwa uelewa wangu makange ni kijiji kilichombo mbele ya segera mkoani tanga au labda kuna lina maana nyingine mimi sijajua
 
Makange ni surname ya Robert Makange(R.I.P). Huyu mzee alikuwa ni mwandishi wa habari na alimiliki gazeti kipindi cha TANU na vuguvugu la kupigania uhuru.
Alikuwa na bar yake hapo mtaa wa Nkurumah na na ndipo hasa recipe ya Makange ilitokea pale maana walikuwa na wanatengeneza kuku aliye lostiwa na waliipa jina la Makange.
Nini maana ya neno makange?Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
 
Nilishasikia pia walizungumzia Siku moja kwenye TV,pamoja na upishi original wa makange
 
Nini maana ya neno makange?Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
Ni Aina ya mboga mfano kuku, samaki, maini, nyama ya ng'ombe/mbuzi ambayo inapikwa bila kutiwa maji na pia viungo vyake Kama hoho karoti vitunguu huwa vinakatwa kwa umbo kubwa ata baada ya mboga kuiva vile viungo bado vinakuwa katika umbo lake vinaonekana vyema tofaut na rosti
 
Back
Top Bottom