kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nini maana ya neno makange? Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za Diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
Nimekuja mbio nikajua unaniita leo twende tukale makange jomoniii,.🙄Mother Confessor kubwa la mapishi unaitwa uku.
dah; tatizo voda yako sijui umeibadilisha naipiga sana pasipo manafanikio, eti inaniambia mteja unayempigia huwezi ukaunganishwa nae kwa sasa.Nimekuja mbio nikajua unaniita leo twende tukale makange jomoniii,.🙄
Yaani weweeedah; tatizo voda yako sijui umeibadilisha naipiga sana pasipo manafanikio, eti inaniambia mteja unayempigia huwezi ukaunganishwa nae kwa sasa.
Nini maana ya neno makange?Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
Nilishasikia pia walizungumzia Siku moja kwenye TV,pamoja na upishi original wa makangeMakange ni surname ya Robert Makange(R.I.P). Huyu mzee alikuwa ni mwandishi wa habari na alimiliki gazeti kipindi cha TANU na vuguvugu la kupigania uhuru.
Alikuwa na bar yake hapo mtaa wa Nkurumah na na ndipo hasa recipe ya Makange ilitokea pale maana walikuwa na wanatengeneza kuku aliye lostiwa na waliipa jina la Makange.
Ni Aina ya mboga mfano kuku, samaki, maini, nyama ya ng'ombe/mbuzi ambayo inapikwa bila kutiwa maji na pia viungo vyake Kama hoho karoti vitunguu huwa vinakatwa kwa umbo kubwa ata baada ya mboga kuiva vile viungo bado vinakuwa katika umbo lake vinaonekana vyema tofaut na rostiNini maana ya neno makange?Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi