VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
we subiri Riz1 atakuja toa amri siku haswa haya maandamano yakina CHADEMA tutamuona kwenye taarifa maalum akiamrisha Shimbo afanye mambo!ni suala tete sana libya,unapoona kiongozi anaagiza watu wapigwe na mabomu kwa ndege za kivita?:A S 13:
na anayetoa amri izo ni mtoto wake!ivi ni nani katika jeshi lao?
Ni mara mbili, ni wasaliti wa Gaddafi but ni mashujaa wa wananchi na wapiganaji wa kweli!
makanali kadhaa wa kiongozi wa libya aliye kwenye waya mkali hivi sasa,kanali muhammar gaddafi wametua bila ruhusa na ndege zao za kivita katika kisiwa cha bahari ya medditerrania,malta.walipokamatwa na kuhojiwa,makanali hao wamedai kuwa wametorokea huko baada ya kukataa kutii amri ya kushambulia kwa mabomu umati wa waandamanaji katika mji wa benghazi,yalipoanzia maandamano ya kumng'oa madarakani gaddafi.baada ya kukataa amri hiyo ya kijeshi,makanali hao walisafiri takribani umbali wa saa moja na kutua kwa dharura malta.bado wanashikiliwa na maofisa wa malta kwa uchunguzi na taarifa zaidi.je,hawa ni mashujaa au wasaliti?
Ningewahesabu kama mashujaa wa kweli kama wangeyadondosha ikulu hayo mabomu!
Hao ni mashujaa,sababu bado kuna wanaomtii Gadafi wanaweza wakauawa.sidhani polisi wetu na wanajeshi kama wanaweza kuungana na wananchi kupinga ukandamizaji.utadhani ukali wamaisha hauwahusu.ngoja tusubiri.
Gadaffi alipitiwa na ile methali yetu isemayo Ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji.. Aliangalia walipo angukia wenzake hakuangalia walipo jikwaa... Step by step tutafika wandugu.
kweli hao ni mashujaaHao sio wasaliti wala nini na wana ujasiri sana, kuwapiga raia kwa mabomu kisa wanaandama huo ni uuaji uliopitiliza......
eti..eh hilo nalo ni neno zuriNingewahesabu kama mashujaa wa kweli kama wangeyadondosha ikulu hayo mabomu!
wapo waliowaunga wananchi pia ni wengi mno, kwani uanaambia wanjeshi wa Benghazi wote walisalimisha silaha na kujiunga na wananchi ndio maana huo mji wote uko chini ya Upinzani mpaka sasa.Hawa ni mashujaa lakini ni waoga. Walitakiwa watoke kwenye makambi yao na kwenda kuungana na wananchi kwenye maandamano na sio kukimbia nchi.