Makamu wa Rais tendeni haki na amani itapatikana automatically. Sijasikia unakemea ukatili wa Polisi unaoendelea nchini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa.

Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu!

Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba!
 
Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba! Kuomba kwetu Watanganyika ni kuingia "msituni" kupigania haki kwa njia za kisheria.
Nikauli za kitoto sana but aim ni ile ile kuzunguka mbuyu huku wakiogopa ku address tatizo halisi

They know waki address real issues watamgusa bosi
 
Umemaliza kazi. Wanazunguka na kukwepa ku address the the real issues, the source of which is within their mandate and they are the CULPRITS. Issues zinazogusa even halali wa uwepo wao hapo madarakani
 
Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba! Kuomba kwetu Watanganyika ni kuingia "msituni" kupigania haki kwa njia za kisheria.

Kaishiwa sera. Kila siku akizungumza ni kuhusu maombi tu .... sasa inakuwaje wameenda kuwapiga mabumu Bawacha Kanisani..... wakati walikuwa pale kwa ajili ya maombi!!?
 
Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba! Kuomba kwetu Watanganyika ni kuingia "msituni" kupigania haki kwa njia za kisheria.
acha porojo nonsense gentleman,
kua na heshima na viongozi wa kitaifa

kama hutaki kuliombea taifa lako, kaa kimya na pepo na ushetani wako useless na sio kumbelembela nonsense jukwaani
 
Back
Top Bottom