Makamu wa Rais Mpango na Kikwete wamwaga Raila Odinga

Makamu wa Rais Mpango na Kikwete wamwaga Raila Odinga

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakitoa heshima za Mwisho kwa Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya marehemu Raila Amolo Odinga katika Uwanja wa Nyayo, Jijini Nairobi leo Oktoba 17, 2025.
 
Kikwete anazidiwa padogo sana na rais samia kwenye kula keki ya nchi.

Yani akitoka samia, anafuata Kikwete kwenye ulaji.
 
Back
Top Bottom