Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
![]()
Hivi alipokuwa na miaka 18 - 25 alikuwa na muonekano gani hapa kilometa zimesha kwenda sana lakini anaonekana mrembo si mchezo.
Hayo macho mi hoi.

Kwa Upande wangu naiomba serekali ya Makufuli , imtumilie huyu Dada kwa badhi ya mambo fulani tu, kama ilivyokuwa yule Dada wa Kizenj waziri wapesa ,ilikuwa Nchimba ndio anawakilisha Tz ,hawa watu wa Makka kuna sehemu inakuwa ni vigumu kuwachanganya au kutuwakilisha hasa wanawake wao ,pia ningeomba wenye umahari wamshawishi huyu Dada akiwa katika shuhuli za kichana na serekali aondowe kilemba . nawasilisha.
Mama amekabidhiwa mikasi na mwenzie aliyeondoka kwa ajili ya makongamano, warsha na uzinduzi wa miradi mbalimbali!
Huyu Mama kapata zali hata hakuwahi kufikilia!
Makamu wa rais ni nafasi exclusive kwa ajili ya Waislam tu.
Viongozi wote wa kiserekali walikuja na wenzi wao. Yeye vipi tusimuulizie?!