Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3][/h]
12193724_159660101053292_1155602019935774272_n.jpg

Mh. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa makamu wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kusaini kiapo chake leo Tar. 05/11/2015 saa nne na dakika hamsini na nne.
12208346_1023840214334686_6454123285373319886_n.jpg
 
Mmmm....unaanzaje kutaka mume wa mtu?ana kuhusu nini wewe?waswahili kweli kazi kweliiii
 
Mume wa makamu wa rais alikuwepo pale uwanjani alipowasili tulitangaziwa.
 
Viongozi wote wa kiserekali walikuja na wenzi wao. Yeye vipi tusimuulizie?!
 
Hivi unategemea hivyo alivyo atakosa mwenzi,wee vipi bana!
 
12193724_159660101053292_1155602019935774272_n.jpg


Hivi alipokuwa na miaka 18 - 25 alikuwa na muonekano gani hapa kilometa zimesha kwenda sana lakini anaonekana mrembo si mchezo.
 
Kawaida ya wanawake wa kizenji,warembo sana.
 
Makamu wa rais ni nafasi exclusive kwa ajili ya Waislam tu.
 
Mama amekabidhiwa mikasi na mwenzie aliyeondoka kwa ajili ya makongamano, warsha na uzinduzi wa miradi mbalimbali!
 
Back
Top Bottom