Makamu wa Rais Mama Samia ameanza kazi rasmi

Makamu wa Rais Mama Samia ameanza kazi rasmi

Unataka uone nini???

Any ways me nasubiria kwa hamu kuona ubuyu ukimwagiliwa, hi hii

Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu

Hahahahahahaha! Mbavu zangu, hicho kilimo cha ubuyu very interesting!!!!! Daaah mpaka tuanze kuvuna ni 2050, sasa sijajua tutawekeza kiasi gani!!!! Ila ahadi nyingine bwana very funny! Hahahahahaha
 
Naona kitu cha MAC piru bado ndani ya karatasi.
Anajua hata kuitumia kweli ama ni kwa ajili ya show off..
 
Makumu kazi yake kufungua majengo mapya na mikutano au warsha
 
[h=3][/h]
12189318_10207853136595626_6947697398019756856_o.jpg


Makamu wa Rais akiwa ofisini kwake tayari kufanya kazi ya kulijenga Taifa.

HAPA KAZI TU

Samahani huyu Nd yetu ana watoto wangapi anaonekana ana busara sana.
 
Back
Top Bottom