Makamu wa Rais Mama Samia ameanza kazi rasmi

Makamu wa Rais Mama Samia ameanza kazi rasmi

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3][/h]
12189318_10207853136595626_6947697398019756856_o.jpg


Makamu wa Rais akiwa ofisini kwake tayari kufanya kazi ya kulijenga Taifa.

HAPA KAZI TU
 
Hivi Tanzania kuna vijiji vingapi? Na wanawake wamesha hamasishana kuanzisha vikoba wanasubiri mgawo. Na wengine wanakopaje wakidai zikija za mheshimiwa watarudisha.
 
MMh, hivi ndio tunavyoanza kazi TZ? Interesting! Computer imefunikwa, hakuna kitabu wala file hata moja linaloonekana, kuna muhuri lakini. I guess ukiwa makamu wa raisi hakuna "hand over" . Unaanza upya kabisaa! Kazi ya namna hii nimeipenda. hakuna pressure!
 
Hivi kwa nini picha zako kwenye simu yangu huwa hazioneshi?
 
mbona anajifunika funika naguo mengi hvyo
 
Watu matumbo joto ( waliopigania ubunge ili wawe mawaziri,wizara zitakazopunguzwa na wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa wilaya na watendaji wengine hawajajua kesho yao wakati maghorofa yao ndo kwanza yapo kwenye hatua ya msingi)
 
Wakitaka Advance ya 50m nitatanguliza fasta!!! denoo49
Jambazi Mkuu huyu ni makamu ya Mzazi na kioo cha jamii hivyo Lazima avaae stara kuiheshimu wadhifa wake!! ila kama unayo fesheni ya kumshauri.....
 
Last edited by a moderator:
MMh, hivi ndio tunavyoanza kazi TZ? Interesting! Computer imefunikwa, hakuna kitabu wala file hata moja linaloonekana, kuna muhuri lakini. I guess ukiwa makamu wa raisi hakuna "hand over" . Unaanza upya kabisaa! Kazi ya namna hii nimeipenda. hakuna pressure!

hawa si wanatembea na mikasi tu kuzindua vitalu, majengo, na wodi?
 
Hongera Mr. Chin kwa kuchukua nafasi ya Silva Rweyemamu, ulipigana sana vita kuhakikisha ccm inabaki madarakani, ulidhubutu hata kuweka fotoshop ili kukibeba ccm. I hate ccm forever.
 
Huyu Mama namkubali, ni jembe sana.

Mwenyezi Mungu amuongoze salama, Inshaallah
 
Back
Top Bottom