kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,101
Kwanza nawapa pole wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.pili nawapongeza viongozi wa serikali,vyama,dini na taasisi binafsi kwa kuungana na watanzania katika maombolezo haya. Suala la msingi ambalo mpaka sasa linanishangaza ni kwanini Makamu wa Rais ameshindwa kutambua uwepo wa waziri mkuu mstaafu mh.Edward Lowassa hata kama walioandaa ile itifaki hawakumuweka kwny list??...inabidi chuki tuweke pembeni kwenye masuala yanayotuunganisha kama taifa hasa tunapoomboleza kwenye msiba huu wa kitaifa.