Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Jibu swali. Ni jinsia gani?John Mongela
Jibu swali. Ni jinsia gani?John Mongela
Ushawahi sikia VP anamwadabisha mtumishi yyt?Kama ameshindwa kulala ikulu ndogo,ya serikali na kwenda kulala kwenye nyumba binafsi basi,
1.Aondoke na Ikulu ya Dar,awe analala kwake au kwa Makonda
2.Hatoweza kumchukulia hatua mkuu wa mkoa,anamfanya immune kwa kumkirimu malazi.
Tehehehhehe mkuu, upo serious kabisa. Naomba ndugu Mongela hasije akaiona hii post
Tatizo lako unaropoka sana kwa kila kitu kufurahisha nafsi yako. Mwanza kuna Official Ikulu ndogo na ndiko kiongozi kwa hadhi yake anapaswa kulala. Hii ni ziara ya kikazi, kama ingekuwa yake binafsi na huyo Mongella wangejipanga jinsi ya kulala. Mambo mengine ni kuzua maswali yasiyo na sababu bure.Kwani kuna ikulu ndogo nyingine zaidi ya kwa mkuu wa mkoa..
Habari wana ndugu,
Naomba wataalamu wa itifaki wanipanue mawazo na kuniongezea uelewa kuhusu Makamu wa Rais kulala nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa na sio Ikulu ndogo.
Nauliza kwa nia njema tu.
Mkuu hapa sasa naona umeenda mbali sana kimawazo....[emoji151] [emoji151] [emoji151] [emoji151]Anavyolala hapo kwa John Mongela, mke wa John Mongela anakuwepo au kasafiri?
Vipi shekhe, umeiona hatari nn?Astaghafilulah !
Mkapa akiwa rais alishawahi lala kwa RC ArushaHabari wana ndugu,
Naomba wataalamu wa itifaki wanipanue mawazo na kuniongezea uelewa kuhusu Makamu wa Rais kulala nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa na sio Ikulu ndogo.
Nauliza kwa nia njema tu.
Uyo RC alikuwa jinsia ganMkapa akiwa rais alishawahi lala kwa RC Arusha
Habari wana ndugu,
Naomba wataalamu wa itifaki wanipanue mawazo na kuniongezea uelewa kuhusu Makamu wa Rais kulala nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa na sio Ikulu ndogo.
Nauliza kwa nia njema tu.