ACHA UMBEA, huu ni umbea kuingilia mambo yasiokuhusuHabari wana ndugu,
Naomba wataalamu wa itifaki wanipanue mawazo na kuniongezea uelewa kuhusu Makamu wa Rais kulala nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa na sio Ikulu ndogo.
Nauliza kwa nia njema tu.
Ataitwa first dadyHilo swali jibu lake nilikuwa nalingojea kwa hamu kwenye uchaguzi wa marekani ila du baada ya bi mkubwa kula mwereka ikawa ndo basi tena
PointNani mwenye uhakika kuwa alilala hapo? Au mtoa uzi ulikesha hapo ukashuhudia kabisa kwa macho yako mawili anaingia kulala na asbh alivyoamka?
Kwa kukusaidia tu, nyumba zote za wakuu wa mikoa na wilaya ni ikulu ndogo! Hivyo viongozi wa kitaifa kama Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza kuzitumia nyumba hizo endapo hakuna nyumba maalumu kwa viongozi hao au kama nyumba zao zinakarabatiwa au zina hitilafu! Na ikitokea wakuu hao wa kitaifa wakalazimika kutumia nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya basi familia za wakuu wa mikoa na wilaya huhamishiwa sehemu nyingine hata kama ni hotelini!!Habari wana ndugu,
Naomba wataalamu wa itifaki wanipanue mawazo na kuniongezea uelewa kuhusu Makamu wa Rais kulala nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa na sio Ikulu ndogo.
Nauliza kwa nia njema tu.
Anae kwAnKwani mama hakwenda na baba huko?!!
Kweli kabisa na ndiyo maana nilimuuliza mtu hapa ,je Ikulu ndogo mkoani zinajengwa wapi?jibu ni rahisi zinajengwa kwa Rc na huu uzi mtoa uzi alitakiwa aulize ili apate kujua kufahamishwa lakini yeyey kautoa kama vile anajua alicho kipost.Kwa kukusaidia tu, nyumba zote za wakuu wa mikoa na wilaya ni ikulu ndogo! Hivyo viongozi wa kitaifa kama Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza kuzitumia nyumba hizo endapo hakuna nyumba maalumu kwa viongozi hao au kama nyumba zao zinakarabatiwa au zina hitilafu! Na ikitokea wakuu hao wa kitaifa wakalazimika kutumia nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya basi familia za wakuu wa mikoa na wilaya huhamishiwa sehemu nyingine hata kama ni hotelini!!