Makamu wa Rais Dk. Bilal, Afande Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

Helicopter yenyewe ya mwaka gani?
Haya maswala ya vyombo vya usafiri ya viongozi wetu yaangaliwe kwa jicho makini.Wawe wanabadilisha kama wanavyobadili mashangingi,vinginevyo tutawasahau.
Poleni Wakuu.


Hili ni swali muhimu sana, usishangae ikiambiwa ilirithiwa kutoka utawala wa kikoloni kama zile meli zilizopo Lake Tanganyika na Victoria, na wakati mwingine budget ya matengenezo imekuwa ikiishia mifukoni mwa watu fulani.
 
Sijawahi ona helicopter ya jeshi ikiwa na rangi nyeupe kama ya polisi, tukio limetokea lakini helicopter sio, mtoaji habari katoa picha ya nchi za watu, sio kwetu

kama ni nchi za watu na huo uchafu hapo chini umetoka wapi sasa?
 
Ni vibaya lakini inabidi niseme, hawa watu wametuchoka hawatujali yaani wanasubiri maafa yatokee ndo wapite kutukejeli na helkopta zao, miundombinu ya maji hamtengezi mkitengeneza mnaparua parua tu ,,,,,,,,,bora mngepungua tu tubaki na wachache tutakao wamaliza kwenye sandku la kura
 
Sijawahi ona helicopter ya jeshi ikiwa na rangi nyeupe kama ya polisi, tukio limetokea lakini helicopter sio, mtoaji habari katoa picha ya nchi za watu, sio kwetu


Ndo hiyo sasa leo wameamua kukuonesha yawezekana ilihifadhiwa maalumu kwa ajili yao
 
sijaona la kushangaza katika hili. labda tu litamstuwa mkuu wa kaya kupunguza safari za kuishi angani.
 
sijaona la kushangaza katika hili. labda tu litamstuwa mkuu wa kaya kupunguza safari za kuishi angani.

Aah wapi! Kwanza hivi siku ndio zinayoyoma basi tutashuhudia safari zikiongezeka. Sasa hata kukiwa na mkutano wa mawaziri wa mifugo Geneva atasema anaenda yeye.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
poleni watanzania woote kwa mkasa huu wa leo.

Pole kwa Watanzani?no sidhan kama pole hiyo inahitajika.Watanzania hawana hofu na afya zao,watakie pole familia zao.Watu na shida zetu unadhan tuna issue na afya za hao?kila mtu na mzigo wake,hakuna tofauti ya hao na wengi tunaowapoteza kila siku.
 
Inasemekana engine ilifeli wakati wa take off na ikapoteza lifting force ikiwa chini ya mt.100 from the ground.
 
Back
Top Bottom