bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,440
- 6,945
Kwa nini munapenda kuwaombea wenzenu mabaya?
Mchimba kisima huingia mwenyewe.
Mchimba kisima huingia mwenyewe.
Sijawahi ona helicopter ya jeshi ikiwa na rangi nyeupe kama ya polisi, tukio limetokea lakini helicopter sio, mtoaji habari katoa picha ya nchi za watu, sio kwetu
Helicopter yenyewe ya mwaka gani?
Haya maswala ya vyombo vya usafiri ya viongozi wetu yaangaliwe kwa jicho makini.Wawe wanabadilisha kama wanavyobadili mashangingi,vinginevyo tutawasahau.
Poleni Wakuu.
Sijawahi ona helicopter ya jeshi ikiwa na rangi nyeupe kama ya polisi, tukio limetokea lakini helicopter sio, mtoaji habari katoa picha ya nchi za watu, sio kwetu
Sijawahi ona helicopter ya jeshi ikiwa na rangi nyeupe kama ya polisi, tukio limetokea lakini helicopter sio, mtoaji habari katoa picha ya nchi za watu, sio kwetu
Mambo ya helcopta waichaie CDM TU. Usafiri huo hawauwezi.
Wote wafe sitaki hata kuwasikia'
Sijui upelelezi utasemaje.
sijaona la kushangaza katika hili. labda tu litamstuwa mkuu wa kaya kupunguza safari za kuishi angani.
poleni watanzania woote kwa mkasa huu wa leo.