Naby Keita JF-Expert Member Oct 20, 2011 10,716 15,286 Aug 30, 2021 #101 permanides said: Siyo ngada za kawaida, huwa wanalima zao flan linaitwa poppy, hutumika kutengeneza cocaine ya grade A. Vita vingine vya huko ni kugombea mashamba ya poppy. Click to expand... Opium poppy inatengeneza heroin sio cocaine........cocaine ni huko south america kwenye mjani wa coca
permanides said: Siyo ngada za kawaida, huwa wanalima zao flan linaitwa poppy, hutumika kutengeneza cocaine ya grade A. Vita vingine vya huko ni kugombea mashamba ya poppy. Click to expand... Opium poppy inatengeneza heroin sio cocaine........cocaine ni huko south america kwenye mjani wa coca
P permanides JF-Expert Member May 18, 2013 10,029 11,225 Aug 30, 2021 #102 Naby Keita said: Opium poppy inatengeneza heroin sio cocaine........cocaine ni huko south america kwenye mjani wa coca Click to expand... Nashukuru kwa sahihisho hilo.
Naby Keita said: Opium poppy inatengeneza heroin sio cocaine........cocaine ni huko south america kwenye mjani wa coca Click to expand... Nashukuru kwa sahihisho hilo.