Acha hizo kaka.Mbinu yenu na mnaowatumia wanajulikana.
Ndio tabu ya ndoto za mchana , jamaa wanaweweseka hao .. leo nimeelewa kwa nini wengine bado wanamiliki kadi za CCM kwa sababu wanajua Chadema ni kama barafu jua likiwaka itayeyuka na kupotea
Tunahitaji kuvuka mipaka ya kidini, kikabila na kisiasa na kujadili taifa letu. Vyama hufa lakini taifa litaendelea kuwepo.
Kijana alikuwa na haki ya kutuhumu kama tunavyotuhumu walioweka fedha Uswiss bila kujali nafasi zao kitaifa.
Arfi alitakiwa kujenga hoja kupangua tuhuma dhidi yake.
Matatizo yapo, absolutely. Na yataendelea kuwepo (kwa vyama vyote). The question is, njia bora ya kutatua tatizo is storm out? Hivi ukiwa na mgogoro kwenye familia yako unafungasha virago vyako na kuondoka?
Ndio tabu ya ndoto za mchana , jamaa wanaweweseka hao .. leo nimeelewa kwa nini wengine bado wanamiliki kadi za CCM kwa sababu wanajua Chadema ni kama barafu jua likiwaka itayeyuka na kupotea
Wanafiki wote walioko chadema mnawajua nyie na nape wenu
Kumbe una AKILI na UPENDO mkubwa tu kwa Taifa Mama Porojo?
Leo umenishangaza na imebidi nikupe LIKE.Ni LIKE ya moyoni mwangu haswa.....
Haya maneno chini ni maneno MAZITO SANA. Sijui kama uliandika ukijua waandika nini.... BIG UP.
acha upotoshaji, chanzo cha mgogoro Katavi ni kutowajibika kwa Arfi kisa anapumzika 2015(hagombei tena 2015)
Acha walie chama cha mapinduzi kina wenyewe
Acha hizo kaka.Mbinu yenu na mnaowatumia wanajulikana.
Toa udini hapa wewe mla kashataKinachowaponza Arfi na Zitto chadema kinaeleweka na ndicho hicho-hicho kitakacho mkumba Safari.
Hiyo ndio chadema.
Yetu macho na masikio!
Wewe dada unatakiwa ufukuzwe chamani hufai rudi zako ccm naona unataka kutafutia watu banpole sana makamu ,nimeanza kusikia unahujumiwa mda mrefu,nina ushahidi wakutosha kuwa kuna dada mmoja ambaye kajiunga chama mwezi wa tatu mwaka huu ndiye katumwa na kiongozi mtendaji wa juu wa chama kuja kukuhujumu uonekane haufai ili huyo dada ndiyo agombee ubunge mpanda 2015
wanasahau kwamba wewe ndio umekijenga chama mpanda mpaka kimefika hapo.
Makamu sikushauri ususie chama,wewe ni kiongozi na mbunge unapaswa kupambana mpaka mwisho kuhakikisha dhuluma na uonevu wowote kwenye chama unafika kikomo.
Askari bora ni yule asiyekimbia vita.
Okota silaha yako,mapambano yanaendelea.jipe moyo mkuu,yana mwisho.
Wazipeleke wapi? UAMSHOLoh hili neno zito sana. wenye akili timamu na wachukue nasaha hizi.
Kiongozi anayekimbilia kutupa kadi au kujivua uanachama chama chake kinapokuwa na matatizo si kiongozi kitu bali mzigo. Hivi kila mwanandoa atakimbilia talaka baada ya ndoa kukumbwa na misukosuko ya kawaida si wote tutakuwa wahuni? Arfi atafute sababu nyingine ya kujiondoa chamani na wakati muafaka. Vinginevyo ataonekana sawa na mapandikizi na wachumia tumbo na mapandikizi wengine. Rafiki wa kweli utamjua wakati wa dhiki na si mwisho wa mwezi. Kama Arfi kafanya hivyo basi CDM wamtue haraka kabla hajawaozea.