Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Isihaka Mchinjita, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akitokea kwenye Uzinduzi wa Kampeni ambayo imezinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mpilili.
Kukamatwa kwa Mchinjita kumeambatana wasaidizi wake wa chama hicho huku mabomu ya machozi yakirindima kuwatawanya wananchi waliokuwa wanatokea kwenye kampeni hizo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, ACP John Imori, akizunguza na njia ya simu amesema hana taarifa yoyote ya kukamatwa kiongozi huyo na yuko Wilayani Ruangwa ila anafatilia kwa undani zaidi taarifa hizo akipata undani atatolea maelezo.