Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, ACP John Imori,
Kiongozi wa juu wa ACT Wazalendo anakamakatwa huku kamanda wa polisi wa Polisi wa mkoa hajapelekewa habari, hii ina maana kubwa kuwa ACT Wazalendo hakichukuliwi kwa uzito kama chama dola kongwe tawala hata wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi.
Je wagombea wengine wa ACT Wazalendo wapo salama kuanzia Luhaga Mpina urais, ubunge na udiwani kweli watapata haki mbele ya vyombo na mihimili wakati huu wa uchaguzi feki?