Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,805
- 174
Waungwana,
Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota mizizi kwa zaidi ya miaka kumi, lakini vyanzo vya kuaminika vinadai eti wamiliki wa kampuni za simu HAWAPENDI kuwepo na muunganiko wa wafanyakazi katika kudai maslahi yao kupitia vyama halali vya wafanyakazi.
Mfano ni hii ambush ya karibuni iliyowafika baadhi ya staffs wa vodacom kutemeshwa kazi kiajabu-ajabu tu, enzi za BUZZ walijaribu kudai chama cha wafanyakazi wa MIC na kilichowakuta ni kufukuzwa kazi,,kwa nini kusiwepo vyama hivyo mfano wa TUGHE etc???
Mwenye vina juu ya hili hebu tufunulieni KULIKONI?