Makampuni ya simu yanaibia wateja MB

Makampuni ya simu yanaibia wateja MB

Nashukulu mungu wanangu wamekua na wanajitambua, sitatoa machozi yangu tena, nitawatunza, hivyo suala la kubembeleza halipo tena, Najuta kuoa kabila ambalo huwa hawashibi mbolo, na hawachagui wanaume.
 
Hamia airtel uku ni afadhal kidogo but wote ni wezi tyu kilchobaki ni kutengeneza mtandao binafsii
 
Halotel ndo wapuuzi kabisa.............niko mbioni kuwatema kabisa. nakutuma uwaambie, kama wataendelea na mtindo wao huu wa wizi watafunga biashara yao muda si mrefu. nyambafu kabisa.......
eti ndio mtandao niliokuwa nimeanza kuwa na imani nao, lakini sasa ni hovyo kabisa
 
Tena Tigo wana kamtindo kamoja kachafu kweli....unakuta umeweka vocha yako unajiunga umefuata process zote za kujiunga kifurushi husika umemaliza km una haraka unaanza kutumia Huduma ukijua wenzio washakuunganisha kumbe wenzio wana-delay ili wale hela yako bureee.....unashangaa kifurush kimeisha within a second....Tgo wana too much delay ktk kuunganisha vifurushi

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
dah walishanifanyiaga hivyo kajero kangu. nikashangaa tu sms ndugu mteja salio lako limeisha.
 
harafu promosheni nyingine bwana eti umepata dakika 4 bule kupiga simu BLAZIL na CHINA.

Aliyewaambia nina ndugu huko nani?[/QUOTE]

Hahahaaa wapuuzi Kweli wanatufanya sisi watoto na msaada wao wa kijinga! Wanajifanya hawajui kuwa asilimia 80 ndugu zetu wenzangu na mimi wooote wako hapahapa Tandale kwa Tumbo [emoji57]
 
Juzi nimekwenda kulala nikiwa na MB 860..........nimeamua asubuhi na washa data baada ya kuwasha data na pata ujumbe umebakiwa na MB 197 nikachoka kabisa......baada ya dakika 10 hivi nikiwa naperuz bila kupakia chochote na pata sms nyingine umebakiwa na MB 43.

Nikajiuliza Mbona bando la mtindo huo huo kipindi cha miezi sita iliyopita lilo kuwa lina nichachia. ......what went wrong....harafu promosheni nyingine bwana eti umepata dakika 4 bule kupiga simu BLAZIL na CHINA.

Aliyewaambia nina ndugu huko nani?
Mimi hunikera sana na hayo mazawadi yao ya kupiga China, na sijui Brazil !!! Utafikiri niko na ndg huko
 
Wanaoongoza kwa wizi

1.voda
2.tigo
Yaani hawa wawili wezi sana bora haloteli kaja mkombozi
 
Hahaa! Wamekuona kilaza. Ni kweli hujui tofauti ya l na r ndio maana wamekuibia. Pole, huko shule ulienda kusomea ujinga? Neno halafu wasema harafu, Brazil wasema Blazil
15% lazima inakuhusu hii unamaliza hasira kwetu......walimu bwana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Umesahau Bure kaandika Bule
Hahaa! Wamekuona kilaza. Ni kweli hujui tofauti ya l na r ndio maana wamekuibia. Pole, huko shule ulienda kusomea ujinga? Neno halafu wasema harafu, Brazil wasema Blazil
 
Nina laini ya voda bt kwa maongezi tu, gharama zao za Mb zimenichosha, nawapongeza sana "Halotel" wametukomboa sana
 
Ngoja nikupe ushuhuda
tigo-nimeachana nao
airtel-nimeachana nao
vodacom-sitaki kuwasikia kabisa unanunua bando ukiwasha data limeisha
halote-mubashara hapa nimefika najivunia speed hatari bando za kutosha naweka buku nape mb unlimited na download window 7
[HASHTAG]#halotelbando[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom