Makampuni ya simu yafidie MB zetu

Makampuni ya simu yafidie MB zetu

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,212
Reaction score
7,723
Tokea siku moja kabla ya uchaguzi mpaka zaidi ya wiki moja baadaye mawasiliano ya kimtandao yalisitishwa nchini. Kwa muda wote huo vifurushi vya internet tulivyonunua havikuweza kutumika na vifurushi vingine vili'expire' ndani ya hicho kipindi cha zuio

Tunayataka makampuni ya simu yasijikaushe bali yawajibike kwa kufidia vifurushi vyetu

NI HAYO TU!
 
Kati ya kampuni ya simu na TCRA ni nani alizima network?

Waambie serikali yako wakulipe fidia na sio makampuni ya simu.
 
Kampuni unayozizungumzia zipo nchi gani?

Ova
 
Back
Top Bottom