Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Mm wala sijakutukana, nimeomba njia tu. Kuomba njia nipite ni kosa?Kwakuwa ulimpa Kinana njia akapita basi unadhani kila mtu anatumia hiyo huduma? Sisi tunachukua machoko vijana sio ww jizee.
Wamiliki wa hizi kampuni ni makada wa CCMUkiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Ipo siku yake au sio[emoji2][emoji2][emoji2]Nimenunua GB 14 za airtel za mwezi na zikaisha kwa siku 3 kwa kustream game ya yanga na kudownload file moja la 1.2GB. Ila Nape poa tuu mwanangu ipo siku usijione umefika.
Kiuchumi haiitwi cartel inaitwa monopolisticUkiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Mm wala sijakutukana, nimeomba njia tu. Kuomba njia nipite ni kosa?
Wanaikuzanyia CCM hela za uchaguzi 2025 ndiyo maana vilio vyetu havisikilizwiUkiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Naunga mkono.Kama hatuwezi kuwatoa, tufanye kama alivyowahi kushauri baba wa taifa...tuwazomee kila tukikutana nao. Tuwazomee bila kujali wana nyadhifa gani. Wezi ni wa kuzomewa tu hata wakiwa serikalini au ndani ya chama tawala.
Lile jizi la PhD naye naambiwa kwa sasa kapoa haonekani (he is lying low!) Hakuna cha lying low, huko huko alikojificha tumsake tumzomee. Katoka kwenye tozo sasa kavamia makato ya akiba zetu, huyu si wa kumwacha hata kidogo.