Hilo swali ukimuuliza huwa anatoa takwimu kwamba sisi ni moja ya nchi zenye gharama ya chini za internet kwenye ma v8 hapo huwa hajibuSwali, soko analoongelea ni soko la wapi? Je viongozi wa seriali na serikali za huko nao wananunuliwa ma V8 watembelee? Tazama hadi magari wanayotembelea wakuu wa TCRA!
Pesa za V8 zitumike kupunguza ghara za internet...!Hilo swali ukimuuliza huwa anatoa takwimu kwamba sisi ni moja ya nchi zenye gharama ya chini za internet kwenye ma v8 hapo huwa hajibu
View attachment 2402729
Ni kweli.Nadhani wameweka TOZOHii ni namna nyingine za tozo wanajifanya wamepunguza kumbe wameziweka Kwa namna nyingine
Siyo kwamba wanachagishana kulainisha wenye mamlaka la hasha,Bali wenye mamlaka ndio wanahisa Wakubwa kwenye makampuni hayo.Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Wizi upo kila mahali.Vitenge, mkaa, nk.zipo nyingi tu!
Usiwe na matumaini yoyote kwa mtu Kama NAPENimenunua GB 14 za airtel za mwezi na zikaisha kwa siku 3 kwa kustream game ya yanga na kudownload file moja la 1.2GB. Ila Nape poa tuu mwanangu ipo siku usijione umefika.
Mchango na matayarisho ya 2025?Hii cartel haiwezi kukamilika kama jumba Jeupe SiO part and parcel
TCRA atageuka mzigo,yeye anashindana na vijizageti vya mtandao kwa kutumia lugha tata kwa watawala which is no big deal,wameshindwa kusimamia watoa huduma za makampuni ya simu ambazoFailure of tcra
IUna ushahidi wa hiki ulichokiandika au ni hisia tu
Huyu Nap* ni mpuuzi sana. Huo mkonga wa internet/mawasiliano ni mali ya serikali kwa hiyo ina uwezo mkubwa wa kuwadhibiti hao wahalifu.Hii ni bei ya soko, sio maneno yangu 🐒👇
View attachment 2402701
Hiwezi kujua kila kitu Mjomba,vingine kama hujui kaa kimya uelimishwe.watu mkiwa behind the keyboard hua mnajisahau sana.
Biashara yoyote ile kubwa (Kama Mafuta au Telecom), lazima wawe wana cartel.Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Mimi ntakuunga bando la mwaka mzima, Ila ukubali kunipa njia nipiteYaani ni maumivu ya hatari na hakuna kiongozi yoyote anahoji maana itakuwa serikali ndio inapenyeza hayo madai ya hizo hela.
Safi sana, huwa nafurahi nikiona mnakamuliwa hivi. Vijana kutwa kujadili umbea badala ya kufanya kazi. Kilimo ni uti wa mgongoNimenunua GB 14 za airtel za mwezi na zikaisha kwa siku 3 kwa kustream game ya yanga na kudownload file moja la 1.2GB. Ila Nape poa tuu mwanangu ipo siku usijione umefika.
Mimi ntakuunga bando la mwaka mzima, Ila ukubali kunipa njia nipite