watu mkiwa behind the keyboard hua mnajisahau sana.Secret Agent wa CIA East and Central Africa akishirikiana kwa karibu na Secret Agent mwenzie King of Msoga Kingdom
.Naona mission yake ya kumsimika Ruto pale Kenya,kaimaliza salama baada ya Ile ya Tanzania kulipasua jiwe kufanikiwa na kumsimika Bi.Kidawa Msafiri Kafiri.
Hapa tufunge mkanda tu,hamna namna.
Ndio navyo wazaHawasemi ndiyo kijinga tu, si ajabu wako kwenye paylist ya walamba asali wa makampuni hayo.
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Hakunaga tena soko huria.Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
TTCL vipi? Na yeye yumo katika cartel?Hamna cha kuwafanyA. The free market is a myth...Halotel ndio alikuwa mkombozi,,Yuko wapi?
Yani hao ndio kabisa...Walikuja na 'bufee' mwisho wa siku mama ntilie anajaza kuliko hatA bufeeTTCL vipi? Na yeye yumo katika cartel?
TCRA ndicho chombo kinachotumiwa na serikali hii ya CCM kuwahujumu Watanzania kwa kuzima sauti huru kupitia gharama za internet.2015-2020
tCRA ilifanikiwa kwa kuwapiga fidia zakutosha ila tokea 2021 TCRA imekaa kimya sana
Ndiyoo, TTCL naye yupo. Labda alipigwa stop akaambiwa akae kimya! Chezea cartel inapoihusu serikali ya CCM.TTCL vipi? Na yeye yumo katika cartel?
Una ushahidi wa hiki ulichokiandika au ni hisia tuSecret Agent wa CIA East and Central Africa akishirikiana kwa karibu na Secret Agent mwenzie King of Msoga Kingdom
.Naona mission yake ya kumsimika Ruto pale Kenya,kaimaliza salama baada ya Ile ya Tanzania kulipasua jiwe kufanikiwa na kumsimika Bi.Kidawa Msafiri Kafiri.
Hapa tufunge mkanda tu,hamna namna.
Vitenge, mkaa, nk.zipo nyingi tu!Duh kumbe cartels zipo nyingi ukiachana na za wale wa mafuta na sukari?
Swali, soko analoongelea ni soko la wapi? Je viongozi wa seriali na serikali za huko nao wananunuliwa ma V8 watembelee? Tazama hadi magari wanayotembelea wakuu wa TCRA!Hii ni bei ya soko, sio maneno yangu 🐒👇
View attachment 2402701
Dakika sio ishu, ishu ni MB tu.Sasa hivi watu wanaanza kurudia utaratibu uleule wa kuuliza kama una dakika hapo naomba niongee na mtu.
Huyu jamaa atakuwa kwenye payroll sio bureHii ni bei ya soko, sio maneno yangu [emoji205][emoji116]
View attachment 2402701