Makampuni ya kukodisha magari da es salaam

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
NAOMBA MSAADA: Naomba maelezo kwa nayefahamu makampuni rasmi ya kukodisha magari Dar es Salaam, gharama na bei zake kwa siku zikoje? na dereva au bila dereva na masharti yao yakoje pamoja na vinavyohitajika. natanguliza shukurani za dhati. IDUMU JF
 
mkuu ulikua unataka kukodisha magar ya aina gani?manake tours nyingi hawanaga magari,huwa wanachukua kazi then wanakodisha magari ya mtu wanapiga cha juu!yaliyopo bei zake ni ghali sana!au unaweza kuwasiliana na travellers agents like antelope tours,huwa wanatoa hiyo huduma pia!ila kama unataka kubana matumiz ni bora utafute mtu mwenye gar lake na dereva au bila dereva mkamalizana kuliko kuchukua haya makampuni.
 
thanks kwa ushauri wako, nilikuwa nahitaji gari nzuri ya kawaida ya kutembelea hapo bongo na iwe ni ya kubana matumizi na ya gharama nafuu. sijui kama una information kawaida ukodishaji magari hata kwa watu binafsi uwa ukoje? natanguliza shukurani
 
naomba unitumie namba yako kwenye private masage au kwenye namba 0717326072 au 260977480657 kwa sasa nipo lusaka
 
You can get a saloon car 1,500 cc for 30,000 pd maximum 100km within the city or if its a 30days contract u pay 20,000 pd. If its a 4x4 you can pay 200,000- 400,000 pd.
Those are self drivesno fuel, u will need to deposit your passp or get a reliable person to guarantee you.
Uswahilini you can get a saloon for abt 70,000 per week, you refuel max. 100Km/day.
A driver might ask you btwn 10-15,000pday.
Cheers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom