MAKAMPUNI MENGI MA-HR NI WANAWAKE, KWANINI?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Hivi hii huwanakusudia nini mara nyingi idara za HR ni wakuu wa idara ni wanawake? Kwanini?
 
Wataalamu wa lugha wanasema Kuna baadhi ya majina huwa na jinsia.
Jina bank ni jinsia ya kike.
Kuhusu swali lako inawezekana kweli ma HR wengi wanakuwa wanawake kutokana na mazingira ya majukumu ya hiyo fani inaonekana mwanamke anafit zaidi.
 
Labda managing directors wanataka watu wa kuwapelekesha kirahisi na wasio competitive kihivyo.
Ukipata Hr mwanaume mwenye hila, atapiga miti waajiriwa, ataajiri watu kufit vision zake yeye, anaunda mitandao kazini kwa malengo yake binafsi na anaweza kuharibu biashara kabisa..
Wanawake wengi hawana hizo..
 
Waajiri wengi wana dhana kwamba wanawake wapo friendly, wakarimu, wastaarabu na wasikivu zaidi kuliko Wanaume na wana huruma sana na pia wasikilizaji wazuri wa matatizo ya watu. Na hii kwa kiasi fulani ni kweli kwa maoni yangu japo sio wote, chukulia hata kwenye familia mama hu deal sana na human resources😁 (watoto na wengineo kama wapo kama housegirl au ndugu au etc) na mahitaji yao kuliko baba, baba kazi yake kuhudumia tu nakupokea report kutoka kwa mama 😊

Pia utafiti unaonyeasha wanawake wapo vizuri sana katika kutatua matatizo yanayohusu watu.

Pia sababu nyingine waajili wengi hawataki kuonekana wanaajili wanaume tu katika kampuni. Kwa mfano, katika makampuni mengi, kuna wanaume wengi katika nafasi ya ngazi ya executive level, finance department na technical positions such as IT, engineering, or science. Sasa ili kuweka mzani sawa au kuonesha kuna usawa basi nafasi nyingi za HR na hata secretarial/administrative position na front desk huwapa wanawake.
 
Kuna kazi zinahitaji watu loyal, Comparatively wanawake wako loyal/naive kuliko wanaume ..

Mi nafikiri hivi.
 
Hata masekretari, sijui kwa nini!
Check hapa inaweza kukupa jibu kwann 👇🏽
Pia sababu nyingine waajili wengi hawataki kuonekana wanaajili wanaume tu katika kampuni. Kwa mfano, katika makampuni mengi, kuna wanaume wengi katika nafasi ya ngazi ya executive level, finance department na technical positions such as IT, engineering, or science. Sasa ili kuweka mzani sawa au kuonesha kuna usawa basi nafasi nyingi za HR na hata secretarial/administrative position na front desk huwapa wanawake.
Secretarial position ndo hizo nafasi za ma secretary na hao front desk ndo wale wa reception/mapokezi ukiingia unawaona wengi wanakua wanawake kwasabab hizo nilizozieleza
 
Waajiri wengi wana dhana kwamba wanawake wapo friendly, wakarimu, wastaarabu na wasikivu zaidi kuliko Wanaume na wana huruma sana na pia wasikilizaji wazuri wa matatizo ya watu. Na hii kwa kiasi fulani ni kweli kwa maoni yangu japo sio wote, chukulia hata kwenye familia mama hu deal sana na human resources😁 (watoto na wengineo kama wapo kama housegirl au ndugu au etc) na mahitaji yao kuliko baba, baba kazi yake kuhudumia tu nakupokea report kutoka kwa mama 😊

Pia utafiti unaonyeasha wanawake wapo vizuri sana katika kutatua matatizo yanayohusu watu.

Pia sababu nyingine waajili wengi hawataki kuonekana wanaajili wanaume tu katika kampuni. Kwa mfano, katika makampuni mengi, kuna wanaume wengi katika nafasi ya ngazi ya executive level, finance department na technical positions such as IT, engineering, or science. Sasa ili kuweka mzani sawa au kuonesha kuna usawa basi nafasi nyingi za HR na hata secretarial/administrative position na front desk huwapa wanawake.
👍🏽
 
Back
Top Bottom