Hiyo sheria ya Bar siyo leo wala jana.Aliyepo anatekeleza sheria tu.TBL wanayumba kwa mengi.
Poor purchasing power,na ufunguaji wa bar saa 10 alasiri
May Allah bless Me and You
Angelia na soma kilicho andikwa na kina maana gani sio unabaki kukosoa kosoa= Mabadiliko
= mabadiliko
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?
Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Siyo kweli.Kama Acacia na Anglo gold hawakukubali kutuongezea kiduchu basi uhakika bajeti ya mwaka huu ikifika Decemba tutapata machungu.
Uwezo wa biashara nyingi utapungua sana na kodi kupungu
The only solution ni Acacia watupe mgao mkubwa kufidia otherwise bunge litakaa tena kufanya mini budget
Hata ununuzi wa MV DSM ulikuwa wa UJANJAUJANJA?Hauhitaji kuwa na diploma kulijua hili 4 the past 30yrs nchi ilikuwa inaenda ki ujanja ujanja kuirudisha kwenye mstari ghafla madhara ndo haya ni wazi wawekezaji feasibility studies zao wali jumuisha mianya ya kodi kwenye faida.bila kurekebisha viwango vya kodi biashara nyingi zitakufa.
Na hapa bado ni mwanzo tu na lazima sheria zifuatwe tuHauhitaji kuwa na diploma kulijua hili 4 the past 30yrs nchi ilikuwa inaenda ki ujanja ujanja kuirudisha kwenye mstari ghafla madhara ndo haya ni wazi wawekezaji feasibility studies zao wali jumuisha mianya ya kodi kwenye faida.bila kurekebisha viwango vya kodi biashara nyingi zitakufa.
Walivyo na kiburi bunge halitakaaKama Acacia na Anglo gold hawakukubali kutuongezea kiduchu basi uhakika bajeti ya mwaka huu ikifika Decemba tutapata machungu.
Uwezo wa biashara nyingi utapungua sana na kodi kupungu
The only solution ni Acacia watupe mgao mkubwa kufidia otherwise bunge litakaa tena kufanya mini budget
Ndio utekelezaji umekuja na atharo,sijasema ya leoHiyo sheria ya Bar siyo leo wala jana.Aliyepo anatekeleza sheria tu.
Nakupendaga[emoji735]
Huwa nakupenda[emoji818]
May Allah bless Me and You
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nampendaga tu haijalishi
Nipo mkuu nimerudiMkuu ulipotea sana vip ulikuwa wap?
TBL imeua mashamba ya ngano, kiwanda cha Kioo Ltd, kiwanda cha vizibo, imechimba Kisima cha maji badala ya kutumia Dawasco, imeuza nyumba, kwa hali hiyo hasara kwa nchi ni kubwa kuliko faidaKampuni ya TBL inaongoza kwa kulipa kodi
He he he huwezi kua seriousHayo makampuni yanayotikisika lazima yatakuwa ya wapiga dili.
Faiza si kosa lao.Hukumbuki kuwa mwanzo walikuwepo walimu wa U.P.E. (Universal Primary Education). Hawa walijulikana kama 'Ualimu Pasipo Elimu.' Baadaye wakaja wale wa 'Voda Fasta.' Kila mmoja alikuja na utamaduni wake na lafudhi yake.= Mabadiliko
= mabadiliko
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?
Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
kiswahili kinatakaje? kuna lahaja za aina ngapi za kiswahili? mi nasisitiza bi faiza fox nampendaga saaana mpaka nahisi kuumwa. akili yake hua haichuji mama smart sana huyo.... nampendaga saaana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili hakitaki hivyo.
Mantiki inakosekana na UKAKASI unaongezeka
May Allah bless Me and You
Kweli kabisa mkuu hasa baada ya kufungwa kwa autometed EFD na ukitilia maanani faida ya mafuta vituoni ni ndogo sana wengi wataona isiwe tabu.Soon shell nyingi za mafuta nazo zitafungwa.