Makambako wazindua uwanja wa salum mwalim

Makambako wazindua uwanja wa salum mwalim

Utaratibu wa kuvipa majina Viwanja ama mitaa huwa mikononi mwa Wananchi kupitia Mamlaka husika ili kuhuisha majina hayo katika matumizi rasmi kesheria na kitaratibu. Na wasiwasi kama mfumo huu utaendelea kwa "kupoka" majina ya maeneo na kuwapa "first time" Wanasiasa tena wasio na "legacy" yoyote. Hizi ni fujo na ni sawa na "uhaini" wa kimapinduzi hasa katika nchi huru, ya kizalendo na yenye Mamlaka kamili kama Tanzania.

Wafuasi ama Wanachama wa vyama vya siasa ni wachache sana kuliko Wananchi ama Wapiga kura. Hivi inakuwaje uchache huu, tena wa kikundi cha watu wenye itikadi moja kuiamulia jamii. Hii ndio demokrasia tunayoitaka? Je! TLP Jogoo, kesho wakiuita uwanja huo kama Augostino Lyatonga Mrema mtasemaje?

Acheni kuwachanganya wananchi kwa "mihemko" ya kisiasa, pia zingatieni taratibu.
Kibaha kuna sehemu inaitwa kwa Mathias, Dar es Salaam kuna kwa Aziz All n.k. Je kuna Mamlaka zilikaa kubatiza majina haya? Nimeona kuna mitaa hapa Dar watu wamejipa majina yao bila hata ya vibali ya hizo Mamlaka. Ebu washauri watoe majina kwa mitaa yote ya Dar inasaidia hata kwa usalama.
 
Huyu Rose Mayemba ni yule kimada wa Mbowe?
 
View attachment 246684 Joshua Nassari akizungumza na wananchi wa makambako

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Leo katika viwanja vya shule ya msingi Mwembetogwa, wananchi wa makamnako na viunga vyake walijitokeza kuwalaki viongozi wao ngazi ya taifa. Akihutubia mkutano huo mh. JOSHUA NASSARI MP, amewataka wananchi kuhakikisha wanaifuta ccm oct, 25. kwa upande wake naibu katibu mkuu, kwanza amesikitishwa na kitendo cha OCD wa polis makambako kuzuia mkutano wa cdm kufanyika kwenye viwanja vilivyozoeleka vya mikutano ya hadhara na kutulazimisha kupeleka mkutano pembeni mwa mji, ili wananchi wasijitokeze, hata hivyo mbinu hizo hazijafanikiwa o na hila za polis mamia wananchi wamejitokeza kusikiliza sera za chadema
 
Kibaha kuna sehemu inaitwa kwa Mathias, Dar es Salaam kuna kwa Aziz All n.k. Je kuna Mamlaka zilikaa kubatiza majina haya? Nimeona kuna mitaa hapa Dar watu wamejipa majina yao bila hata ya vibali ya hizo Mamlaka. Ebu washauri watoe majina kwa mitaa yote ya Dar inasaidia hata kwa usalama.

Sijaona hoja hapa! Vizuri ukajishughulisha kidogo kujua why majina hayo na historia yake! Kamwe huwezi kumfananisha Salum Mwalimu na watu kama Aziz Alli pamoja na Mathias. Hali hii ya kujitukuza kwa kujikweza ni upofu na ufinyu wa fikra. Salum Mwalim is nothing to this Nation. Acheni uhuni wa kisiasa na ulimbukeni usio na weledi.Mnachojaribu kukifanya ni kuwashushia Wananchi heshima, japo kimsingi mnajifurahisha tu na pengine jina hilo litajifia ama kuishia midomoni mwenu Wapambe.

Salum Mwalim, ana historia gani katika nchi hii kiasi cha kuenziwa kilimbukeni kiasi hicho! Vizazi vya aina yenu ni janga tu.
 
Unagubu wewe! Mbona mitaa kibao town mnabadili majina bila kushirikisha wananchi, ukumbuke mamlaka yoyote wamepewa na wananchi, hiyo ni dhamana, wenyewe ni wananchi, ukae ukijua hatuitambui barabara ya mwai kibaki wala ile ya barak obama,

Watu wenye legacy hasi kama kina Chenge nani anawataka, eti mtu kama Sita ambao ndio unawataka.

Kama vipi kafie mbali huko, uwanja ushapewa jina tayari.

Haya ndiyo madhara ya akili ndogo kuijadili akili kubwa! Hivi wewe umeisoma na kuielewa hoja yangu? Pengine nasita kukuita m.p.u.m.b.a.v labda nitumie mjinga kwani naimani iko siku utanielewa ninachomaanisha.
 
Salum Mwalimu atafika mbali sana ni mwanasiasa anayejituma ana uwezo wa kujenga hoja na kulimudu jukwaa.
wewe unautani sasa na salim mwalimu. afike mbali wapi wakati kule nchi jirani chadema haipo? au unamaanisha anahamia kule kwa machalii Arusha?
 
sijasikia mikutano ya huduma ya kisiasa ya act ikizuiwa na polisi kwamba kuna intelejensia ya polisi imeona tishio lolote, yani wanashindwa kuficha haba kwa, mtoto wake. kweli mtoto wa mama anapendwa sana, tena ni mpya.
 
Sijaona hoja hapa! Vizuri ukajishughulisha kidogo kujua why majina hayo na historia yake! Kamwe huwezi kumfananisha Salum Mwalimu na watu kama Aziz Alli pamoja na Mathias. Hali hii ya kujitukuza kwa kujikweza ni upofu na ufinyu wa fikra. Salum Mwalim is nothing to this Nation. Acheni uhuni wa kisiasa na ulimbukeni usio na weledi.Mnachojaribu kukifanya ni kuwashushia Wananchi heshima, japo kimsingi mnajifurahisha tu na pengine jina hilo litajifia ama kuishia midomoni mwenu Wapambe.

Salum Mwalim, ana historia gani katika nchi hii kiasi cha kuenziwa kilimbukeni kiasi hicho! Vizazi vya aina yenu ni janga tu.

Unaongea kama mlopokaji tu, kila siku majina yanaingizwa mapya na yanabamba tu, mbeya kuna uwanja wa dr slaa zamani tulikuwa tunapaita ccm, mbowe nae alipewa kiwanja wakati wa kampeni kule manyara lakini pia kule dar kuna kituo kinaitwa chadema maeneo ya kiwalani, inategemea na wananchi wenyewe hilo jina wamelikubali? Inawezekana tu
 
Unaongea kama mlopokaji tu, kila siku majina yanaingizwa mapya na yanabamba tu, mbeya kuna uwanja wa dr slaa zamani tulikuwa tunapaita ccm, mbowe nae alipewa kiwanja wakati wa kampeni kule manyara lakini pia kule dar kuna kituo kinaitwa chadema maeneo ya kiwalani, inategemea na wananchi wenyewe hilo jina wamelikubali? Inawezekana tu

wewe unautani sasa na salim mwalimu. afike mbali wapi wakati kule nchi jirani chadema haipo? au unamaanisha anahamia kule kwa machalii Arusha?

Ebu Salum akatangaze Chadema Zanzibar maana kskomaa bara cjui cheo alichopewa kina maana Gan
 
Sijaona hoja hapa! Vizuri ukajishughulisha kidogo kujua why majina hayo na historia yake! Kamwe huwezi kumfananisha Salum Mwalimu na watu kama Aziz Alli pamoja na Mathias. Hali hii ya kujitukuza kwa kujikweza ni upofu na ufinyu wa fikra. Salum Mwalim is nothing to this Nation. Acheni uhuni wa kisiasa na ulimbukeni usio na weledi.Mnachojaribu kukifanya ni kuwashushia Wananchi heshima, japo kimsingi mnajifurahisha tu na pengine jina hilo litajifia ama kuishia midomoni mwenu Wapambe.

Salum Mwalim, ana historia gani katika nchi hii kiasi cha kuenziwa kilimbukeni kiasi hicho! Vizazi vya aina yenu ni janga tu.
Huo ni mtazamo wako. Hata wakati akina Mathias na Aziz Alli na wengine walio jina china majina kwenye mitaa kuna watu walisema hivyo hivyo. Watu wa mahali hapo ndiyo wanajua historia ya Mtaa ulio it wa jina hilo na wala hawa end kuomba kwa mtu apitishe hilo jina. Jina linatambulika na wao na kisha kuwa maarufu. Usianze kuangalia kwa kujifikiria wewe au taasisi yako inavyomthamini mtu huyo. Binafsi siko katika siasa zenu hizi za kivyama (ambazo yawezekana ndizo zinakuelekeza kwenye utaifa), lakini ukisoma andiko langu ninasisitizia kuwa jina la mahali linatambulika kwa watu wa sehemu hiyo kulipa jina hilo. Haya mambo ya kusubiri hizo kamati, matokeo yake ndiyo tunayaona hapa Dar es Salaam pamoja na miji mingine yote, kuna barabara mpaka leo hazina majina - ukiacha zile ambazo watu wenyewe wameamua kuziita kwa majina yao au wayatakayo.
 
Back
Top Bottom