Makambako wazindua uwanja wa salum mwalim

Makambako wazindua uwanja wa salum mwalim

Mkuu acha kashfa na dharau,utamwitaje binadamu mwenzako hivyo?Hivi nyie ccm mkoje?Mtaacha lini roho mbaya?Ndio maana kwenu Ni kitu cha kawaida kuteka watu,kuwang'oa na kucha na wengine kuwaua kisa Tu madaraka.Pum.b.avu kabisa nyie,stupid

Achana nae ana nyota ya fisi..na tabia ya fisi ni kupenda mizoga.
 
1429972280417.jpg
 
Tunasubiria "uwanja wa SUGU" teh teh teh ...

CHADEMA hamuishi vituko!
 
SIMIYU YETU,usiwe na wasiwasi buku 7 za LUMUMBA mtaendelea kuzipata,duh.. nilisahau kumbe leo weekend LUMUMBA hamna mtu ndo mana SIMIYU YETU yuko mitandaoni,mwenzio RITZ anakula kuku leo na mabeberu ya LUMUMBA,nahisi ni mtoto wa kufikia ndo maana huna adabu hata chembe
 
Salum Mwalimu tayari yuko jukwaani.

Amesikitishwa sana na polisi kwa kuzuia mkutano wake kwa hila eti kisa tu wanahofia watamjibu Zzk...

Anaelezea pia juu ya namna polisi walivyoingilia mchakato wa serikali ya mtaa ya chadema mkoani mbeya na serikali ya Ccm baada ya chadema kiwanja kwa ajili ya kujenga zahanati huku ccm wakizuia ili wajenge kilabu cha pombe...

Polisi waliwapiga mabomu wananchi waliokuwa wanahitaji zahanati katika eneo lao kwa maelekezo ya ccm
 
Rose toka lini umekuwa kurugenzi ya habar? acha kiherehere kama mke wa balozi

kwa hyo unamwonea wivu mwanamke mwenzio! Mwenzako anapofanya kitu kizuri we tafuta kizur zaid ya kile alichofanya mwenzio!
Hebu mpongeze mwanamke mwenzio kwanza
 
Utaratibu wa kuvipa majina Viwanja ama mitaa huwa mikononi mwa Wananchi kupitia Mamlaka husika ili kuhuisha majina hayo katika matumizi rasmi kesheria na kitaratibu. Na wasiwasi kama mfumo huu utaendelea kwa "kupoka" majina ya maeneo na kuwapa "first time" Wanasiasa tena wasio na "legacy" yoyote. Hizi ni fujo na ni sawa na "uhaini" wa kimapinduzi hasa katika nchi huru, ya kizalendo na yenye Mamlaka kamili kama Tanzania.

Wafuasi ama Wanachama wa vyama vya siasa ni wachache sana kuliko Wananchi ama Wapiga kura. Hivi inakuwaje uchache huu, tena wa kikundi cha watu wenye itikadi moja kuiamulia jamii. Hii ndio demokrasia tunayoitaka? Je! TLP Jogoo, kesho wakiuita uwanja huo kama Augostino Lyatonga Mrema mtasemaje?

Acheni kuwachanganya wananchi kwa "mihemko" ya kisiasa, pia zingatieni taratibu.

Unagubu wewe! Mbona mitaa kibao town mnabadili majina bila kushirikisha wananchi, ukumbuke mamlaka yoyote wamepewa na wananchi, hiyo ni dhamana, wenyewe ni wananchi, ukae ukijua hatuitambui barabara ya mwai kibaki wala ile ya barak obama,

Watu wenye legacy hasi kama kina Chenge nani anawataka, eti mtu kama Sita ambao ndio unawataka.

Kama vipi kafie mbali huko, uwanja ushapewa jina tayari.
 
Hiyo Nimeipenda Aisee, Kwahiyo Mbeya Tuna Uwanja Wa Slaa, Na Makambako Salum Mwalim, Raha Sana.
 
Ma ccm bwana wanafikiria kwa kutumia masaburi, sasa utazuiaje watu kusikiliza watakacho? Mbinu hii ndio walitumia Arusha kugeuza uwanja wa NMC soko ili chadema wakose mahali pa kuhutubia Arusha mjini, lakini wamefeli sasa hivi popote mkutano utapoitishwa watu wanajaa tu haijalishi ni umbali gani, ccm wanatumia uwanja wa mpira shekh amri abeid lakini wanapeleka watu na lori. Lazima watachoka tu huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. Nakuapia kama si kuhofia chadema hii serikali dhaifu isingeleta upuuzi wa MB8.
 
Utaratibu wa kuvipa majina Viwanja ama mitaa huwa mikononi mwa Wananchi kupitia Mamlaka husika ili kuhuisha majina hayo katika matumizi rasmi kesheria na kitaratibu. Na wasiwasi kama mfumo huu utaendelea kwa "kupoka" majina ya maeneo na kuwapa "first time" Wanasiasa tena wasio na "legacy" yoyote. Hizi ni fujo na ni sawa na "uhaini" wa kimapinduzi hasa katika nchi huru, ya kizalendo na yenye Mamlaka kamili kama Tanzania.

Wafuasi ama Wanachama wa vyama vya siasa ni wachache sana kuliko Wananchi ama Wapiga kura. Hivi inakuwaje uchache huu, tena wa kikundi cha watu wenye itikadi moja kuiamulia jamii. Hii ndio demokrasia tunayoitaka? Je! TLP Jogoo, kesho wakiuita uwanja huo kama Augostino Lyatonga Mrema mtasemaje?

Acheni kuwachanganya wananchi kwa "mihemko" ya kisiasa, pia zingatieni taratibu.

Tutalivuka daraja tukishalifikia
 
mi nataka act wajigawe kama cdm tuone kitakachotokea. yani mwenyekiti awe kusini na mkuu o awe kaskazini
 
Kwani hawa police ni lini wataelewa wajibu was?
 
Back
Top Bottom