Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Ni baada ya OCD wa mamlaka ya mji wa makambako kuzuia kwa hila mkutano wa naibu katibu Mkuu kufanyika katikaZanzibari Salum Mwalim viwanja vilivyozoeleka mara zote (viwanja vya polisi)na kuupeleka pembeni ya mji ili kuhakikisha watu hawahudhurii kwa wingi
Kwa BAHATI mbaya sana wananchi hawakujali hilo na walifurika kwa wingi kumsikiliza kiongozi huyu wa CHADEMA.
Ndipo wananchi wa makambako wakabariki viwanja hivyo( vya azimio) kuanza kutumik akwa mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na kubatiza jina la viwanja vya Salum Mwalim.
Mkutano huu pia utahutubiwa na Dogo
Janja kutokq jimbo la Arumeru mashariki mhe Joshua Nassar pamoja na kasambala ambaye ni mjumbe baraza kuu la chama taifa kwa ticket ya vijana