MAKAMBA vs SHY-ROSE UVCCM Dodoma, Kulikoni?

MAKAMBA vs SHY-ROSE UVCCM Dodoma, Kulikoni?

Huyu Shy-Rose ana zaidi ya 44yrs. Kwa wazazi wake alikokulia ni mtaa wa Miti Mirefu Mwanza, alisome Nyakahoja P/School miaka hiyo ya '80. Yeye alikuwa amenitangulia madarasa na mimi nina over 40yrs sasa, yeye je? Kamekula chumvi kibao anastahili kuitwa Bibi kama angekulia kijijini!

Tulikuwa naye kwenye kikosi cha "chipukizi wa mkoa wa Mwanza" enzi hizo za kamanda Marehemu Gupta, baada ya vita vya Kagera! Sijajua CCM vijana ukomo wa umri ni miaka mingapi! Enzi za Mwalimu limit ilikuwa 35yrs. Kwa sasa sijui!

Samahani; Shairozi Bhanji hakusoma Nyakahoja alisoma Pamba Primary School karibu na kwao pale Mitimirefu
 
Back
Top Bottom