MAKAMBA vs SHY-ROSE UVCCM Dodoma, Kulikoni?

MAKAMBA vs SHY-ROSE UVCCM Dodoma, Kulikoni?

bibikuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
832
Reaction score
496
Jamani wana jamvi naomba tujadili kuhusu mpambano baina ya katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba na ShyRose Bhanji juu ya kauli ya kada huyo (ShyRose) kuwa viongozi wa juu CCM kujisababishia nguko lao wakati wa uchaguzi mkuu katika majimbo kadhaa yaliyozolewa na upinzani kauli ambayo Makamba akaikana na kumvaa ShyRose mkutanoni.

Kana kwamba haitoshi nini maana ya LUNCH ya sh 50,000/- iliyotolewa na mbunge wa viti maalum Arusha Catherine Magige kwa wajumbe wa baraza hilo wanaokutana Dodoma. Je hii ni rushwa? Ina Mkono wa mtu ukizingatia mbunge huyo katoka Arusha??? Ama ina agenda nyuma yake???

Tujadili haya kwa mustakhabali wa Tanzania yetu.

Source: Mwananchi Jumapili 20 machi 2011
Baraza Kuu UVCCM lawaka moto Dodoma
 
1st Shyrose is no more kijana she's 42yrs old so the topic bogus
 
Jamani wana jamvi naomba tujadili kuhusu mpambano baina ya katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba na ShyRose Bhanji juu ya kauli ya kada huyo (ShyRose) kuwa viongozi wa juu CCM kujisababishia nguko lao wakati wa uchaguzi mkuu katika majimbo kadhaa yaliyozolewa na upinzani kauli ambayo Makamba akaikana na kumvaa ShyRose mkutanoni. Kana kwamba haitoshi nini maana ya LUNCH ya sh 50,000/- iliyotolewa na mbunge wa viti maalum Arusha Catherine Magige kwa wajumbe wa baraza hilo wanaokutana Dodoma. Je hii ni rushwa? Ina Mkono wa mtu ukizingatia mbunge huyo katoka Arusha??? Ama ina agenda nyuma yake??? Tujadili haya kwa mustakhabali wa Tanzania yetu.

Source: Mwananchi Jumapili 20 machi 2011
Baraza Kuu UVCCM lawaka moto Dodoma

kuwajadili ccm hakuna tofauti na kuwajadili cuf.

niacheni mimi niendelee kuchek gem ya mazembe v/s mnyama
 
Magige anafanya kwa niaba ya controller wa CCM mkoa wa arusha EL coz yeye ndo anapanga safu za uongozi na ukiwa mtiifu kwake utakula mema ya nchi, na magige anatimiza wajibu.

EL ndo alifanikisha Batilda kupita kura za maoni, James Milya kuwa m/kit wa UV ccm mkoa ars, Nembrisi kimbele kuwa kiongozi UWT na hata ubunge wa viti maalum wa Namalek Sokoine kataftiwa na EL ili asipeleke ushindani monduli na wale wabishi kwa matakwa ya EL huwajibishwa mfano ni ktk uchaguzi wa CCM ktk nafasi ya m/kiti CCM mkoa na jumuiya ya wazazi lekule laizer na elisa mollel walitoswa live kwa msaada wa takukuru, so since hapo uongozi wa CCM Arusha ni watiifu kwa ELna sio hao tu hata viongozi wa dini ka askofu Laizer so lolote utakalo sikia toka kwa uongozi wa CCM Arusha ni kwa amri ya EL na wako kumlinda yeye na ni sababu ya njaa zao na uchu wa madaraka.

Hence hili la Magige ni EL at work am sure asilimia mia moja
 
Mwashangaa nini Shyrose na Mkamba kuzozana?? Ni yale yale ya Mizengo Pinda na Pombe Magufuli. Hakuna tofauti!

Kujadili uoza wa CCM ni sawa na kumjadili mtu mahututi aliyeko ICU!CCM ni chama kinachoelekea kaburini. Kuwajadili is wastage of time and energy!

Waacheni wagombane wenyewe kwa wenyewe mpaka hapo lichama lao litakaposambaratika kabisa. Bado kidogo tu tutaanza kushuhudia makonde yakirushwa kwenye vikao vya hawa CCM!
 
Kwani umri si kigezo kuwa mwana UVCCM? Nilitegemea hoja ya Shy-rose iwe tofauti ya lawama. Kushindwa kwa CCM uchaguzi kunakera kuliko kushindwa kwao kutatua matatizo ya nchi? Huko walikoshinda wamefanya nini?

Ndio vijana wanaotaka kuleta mabadiliko. It is pathetic!
 
Shy Rose unang'angania ccm kwa nini usiamie Chadema ili iwe rahisi kwako kuisema ccm na mafisadi wake
 
Waache wakwaruzane ili wawe na maadui wa kutosha ndani na nje mpaka wasijue pa kuanzia. Adui mwombee njaa!!!
 
kazi hipo nadhani sisi wanamapinduzi wanatakiwa wamtetee makamba kwani anawasaidia kuvunja ccm na shy-ni binti aliyepoteza uelekeo nadhani wote tunajua ktk uchaguzi uliopita baada ya zungu kumchezea rafu shy , shy alimpigia simu makamba lakini hakukuwa na jipya toka kwa makamba so bifu likaanza hapo
 
Siyo binti huyu....ni mwanamke mtu mzima wa 45+
 
sina muda ya kuwajadili wapuuzi mie................ebo hebu nkalale
 
mie nasikia raha, natamani nione vita ingine kati ya mwenyekiti na bwana rostam
 
kazi hipo nadhani sisi wanamapinduzi wanatakiwa wamtetee makamba kwani anawasaidia kuvunja ccm na shy-ni binti aliyepoteza uelekeo nadhani wote tunajua ktk uchaguzi uliopita baada ya zungu kumchezea rafu shy , shy alimpigia simu makamba lakini hakukuwa na jipya toka kwa makamba so bifu likaanza hapo

si zungu,ni iddy azani.zungu ni wa ilala,
 
Yule mzee mbona busara ilisha mpita mita mia, aende Loliondo akanywe dawa, simpatii picha NA ILE MIMACHO YAKE YAKICHAWI teh! CCM sikio lakufa!
 
Kaza buti ShyRose ipo siku utasomeka vema! Njia ya siasa ni ngumu, usiogope mradi umedhamiria kuifuata.
 
Jamani wana jamvi naomba tujadili kuhusu mpambano baina ya katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba na ShyRose Bhanji juu ya kauli ya kada huyo (ShyRose) kuwa viongozi wa juu CCM kujisababishia nguko lao wakati wa uchaguzi mkuu katika majimbo kadhaa yaliyozolewa na upinzani kauli ambayo Makamba akaikana na kumvaa ShyRose mkutanoni.

Tujadili haya kwa mustakhabali wa Tanzania yetu.

Source: Mwananchi Jumapili 20 machi 2011
Baraza Kuu UVCCM lawaka moto Dodoma

CCM has sunk so low such that its Secretary General can be ridiculed by a lowly party cadre like Shyrose Bhanji.
Uwezo wa kufikiri "Dr" Makamba sasa hivi uko chini ya uwezo wa Shyrose Bhanji, na bahati nzuri hata Shyrose ameweza kuona makosa ya "Dr" Makamba katika utekeleza ji wa shughuli za chama.
Laana ya Phillip Mangula itawamaliza.
 
Rose baada ya kunyimwa nafasi yoyote ndani ya ccm sasa anaanz harakati za kukimbia chama.si mda mrefu utamsikia CHADEMA.
 
hana tija wala chadema wasimchukue maana vigezo vyao vikubwa chadema waendelee na viwango vya wakina halima mdee, na susas lyimo christina lisu
 
1st Shyrose is no more kijana she's 42yrs old so the topic bogus
Hata Makamba ni mzee, sasa naye alifuata nini hapo? mkutano wa vijana, wazee wanazozana. Kweli mwaka huu tutasikia mengi.
 
Back
Top Bottom