The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Nov 2, 2010 #1 Ndio hivyo sio kawaida yake huyu mtu kukaa kimya sasa sijui this time ni kitu gani kilichomsibu.
Jethro JF-Expert Member Mar 23, 2009 2,219 370 Nov 2, 2010 #2 Makamba Must Gooooo immediately after the president took an oath. Na sitaki kusikia ati Kinana ndie katibu mkuu nataka Katibu mkuu awe kijana sasa sio hao wazee hawajaona alama za nyakati kabisaaaa
Makamba Must Gooooo immediately after the president took an oath. Na sitaki kusikia ati Kinana ndie katibu mkuu nataka Katibu mkuu awe kijana sasa sio hao wazee hawajaona alama za nyakati kabisaaaa
B bulunga JF-Expert Member Oct 24, 2010 303 49 Nov 2, 2010 #3 kaonekana mwanza na shinyanga jana :bowl:
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Nov 2, 2010 #4 Huwa nikimwangalia nahisi nimekutana na mzuka