Makamba uko wapi? Ningependa kusikia kutoka kwako sio kawaida yako kukaa kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba uko wapi? Ningependa kusikia kutoka kwako sio kawaida yako kukaa kimya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Finest, Nov 2, 2010.

 1. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ndio hivyo sio kawaida yake huyu mtu kukaa kimya sasa sijui this time ni kitu gani kilichomsibu.
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,220
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Makamba Must Gooooo immediately after the president took an oath.

  Na sitaki kusikia ati Kinana ndie katibu mkuu nataka Katibu mkuu awe kijana sasa sio hao wazee hawajaona alama za nyakati kabisaaaa
   
 3. b

  bulunga JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaonekana mwanza na shinyanga jana :bowl:
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Huwa nikimwangalia nahisi nimekutana na mzuka
   
Loading...