Makamba sio kiongozi ila mtapanyaji na kile anakiwaza ni uwaribifu and at the last ataaibika na kuumbuka. Ccm sio yake wala asifikiri ajenda yake yakuwatafutia wana ccm spika itafanikiwa bungeni. Naiman mpango wake utaaibika na kuwa aibu kubwa. Mungu ibariki Tz.