Hivi hao wanaozusha kwa nini huwa hamuwakamati?Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa.
Chanzo: TBC
Hivi si siku zote umeme ni 357 make tangu zaman umeme wa 4000 unapata unit 11.2. so Bei ni hiyo hiyo.Nimeona kuna watu wana chuki binafsi na makamba. Iko siku watakamatwa.
Hawezi sema ukweli tutaona wakati wa kununuaAkijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa.
Chanzo: TBC
JF kiboko, marope siku zako zinahesabika za UWAZIRI wako, PICHA huku Kanda ya ziwa haisomi Kwa waliokubeba.Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa.
Chanzo: TBC
Wamtoe tu hakuna namnaJF kiboko, marope siku zako zinahesabika za UWAZIRI wako, PICHA huku Kanda ya ziwa haisomi Kwa waliokubeba.
Si huwa ni unit 14 kwa 5000 hapo ni bila Yale makato ya mwezi ikiwa na makato ya mwezi inapata unit 7,Sasa we mkuu hiyo 4 imekuwaje au unakamchepuko tanesiko kamekata ya nauli..? 😂Hiyo hapo vip?View attachment 2256189
5000 upate unit 4? Uko tariff ipi? Na mwezi huu umekatwa hela ya jengo?Hiyo hapo vip?View attachment 2256189
Unit 60 ni nyingisina uhakika na bei kupanda ila wana tabia ya kuhamisha watu kutoka tafiff ya chini kwenda ya juu, mimi wamenifanyia hivo wakati matumizi yangu kwa mwezi ni units 60.
Kama wapo humu wanijibu hawa Tanesco kwanini wamefanya haya
Naye Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba alihoji Serikali inampango gani wa kuhakikisha kuwa maeneo ya viwanda katika jimbo la Shinyanga mjini yanapata umeme.
Akijibu swali hilo Makamba amesema Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limeanzisha programu kwenye maeneo ya uzalishaji ikiwemo kwenye viwanda na migodi.
Amesema katika programu hiyo itawahusu pia maeneo ya Shinyanga Mjini
Hiyo hapo vip?View attachment 2256189