Kifimbocheza
JF-Expert Member
- Aug 7, 2008
- 494
- 121
Duh mmenikumbusha.lunch lazima nikapate dinner la kitimoto choma na ugali pale hunters club bana. lol!!
Mnalalamika nini kuzagaa maduka ya vyakula? Nyie dhambi ni kula Nguruwe tu? Mbona dhambi nyingine mnazifumbia macho tu au mnawaonea wivu wanaofaidi kitimoto?
By the way kutafuna kitimoto sio dhambi ndo maana akatoa zawadi ya chakula kwa shule, hii ni zawadi nzuri tu na haina tatizo lolote.
Najua wengine wenu mtakua mmepata kisingizio cha kutokuwapeleka watoto wenu shule kwa sababu navyoona ndicho mnachotafuta hapa, miaka ijayo muanze kulalamika kama kawaida yenu....Acheni hiyo tabia haitawasaidia.
Poleni sana wandugu kama mnaona mwenzenu kawasaliti, Nafikiri mkimsomea ile nanihii, labda itasaidia asirudie tena.
...Tunatakiwa tutahiri mioyo yetu sio mwili ili tupate kuwa karibu na Muumba wetu.
Mualike nyumbani kwako.Mimi nampenda Makamba.
Huyu ndie Muislam wa kweli,
Kwani Makamba kutoa zawadi ya Nguruwe kwa shule ni kosa???
jamani mbona wengine wanavila sana tuuu na hawasemi ni dhambi embuse aliyemtoa mzima anapumua, waislam acheni unafiki asilimia kubwa siku hizi wanakula kitimoto tena wao ndio wanaongoza kuvila. Hakuna nyama tamu kama kiti moto hata hao wanaoisakama wanajua.