Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 49
Jamani mmemsikia Makamba? eti wanachama wa CCM wanaotaka kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania waanze kuchukua Form za kugombea nafasi hiyo. Je ni sahihi wakati hata nusu ya matokeo ya ubunge na urais bado wakiyabanibania. Au sheria inasemaje?

Mkuu siyo ubunge ni uspika, na hii habari siyo breaking news, ni habari ya tangu asubuhi, tuwe makini kidogo.
jamani mmemsikia makamba? Eti wanachama wa ccm wanaotaka kugombea ubunge wa bunge la jamhuri ya tanzania waanze kuchukua form za kugombea nafasi hiyo. Je ni sahihi wakati hata nusu ya matokeo ya ubunge na urais bado wakiyabanibania. Au sheria inasemaje?
wao kwao ni itifaki tuu ila tayari wameshampitisha KINANA!!!!!!!!!!!!!!!!
mheshimwa kinana ni good person.....mhhhhhhhhhhhhhKinana is a good person but sio kila kazi anaweza kufanya ....waulizeni kilichomkimbiza Arusha mjinii???.....alafu kuna genge lao na kina Bashe..na mtandao wa wafanyabiashara wenye common roots ambaoo hukutana bagamoyo kwenye hotel ya mmoja wao..they both share the same problem ...na wana mikakati ya kukamata dola!!
Jamani mmemsikia Makamba? eti wanachama wa CCM wanaotaka kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania waanze kuchukua Form za kugombea nafasi hiyo. Je ni sahihi wakati hata nusu ya matokeo ya ubunge na urais bado wakiyabanibania. Au sheria inasemaje?
makamba na jk hawamtaki sitta arudi kwenye nafasi yake walitaka hata yeye na mkewe wakose ubunge....makamba ametangaza hili baada ya kuona sitta leo ameshinda uubunge na kutangaza nia ya kugombea au kutetea nafasi yake ya usipika....anafaa lakini wao wantaka wampe edward lowassa ili kumuuandaa kugombea urais....