BABA JUNJO
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 241
- 14
Atulie kama wenzake kina Mangula akalime mashamba huko Lushoto. Kwanza ana fedha nyingi aanzishe miradi yake na kuisimamia mbona kina Mahita wanaweza kuishi?
Wewe kweli huwatakii mema watoto wetu wa kike, unajua kilichomkimbiza awali alipokuwa mwalimu mkuu?arudi kufundisha somo ya siasa shule za msingi, asaidie kuwapa wanafunzi ukweli wa siasa na experience yake
Huyu babu sasa atafanya kazi gani??Maana sioni wapi pakumuweka angalau amalizie siku zake zakuishi!!:doh::noidea:
Kwani kuna watu ambao wanatakiwa kufanya kazi hadi wafie kazini? Umri wa kustaafu kisheria ni miaka 60 na tayari Mzee Makamba alishafikisha huo umri