Makamba atakuwa nani??

Makamba atakuwa nani??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Huyu babu sasa atafanya kazi gani??Maana sioni wapi pakumuweka angalau amalizie siku zake zakuishi!!:doh::noidea:
 
Mbona anafaa sana kuwa Comedian wa chama, badala ya kupoteza pesa kibao kuwalipa Ze comedy wakati wa Kampeni, Wasipomtumia hilo eneo kweli CCM watakuwa hawazijui vizuri resources walizonazo
 
Kwahiyo akaungane na Akina H,kopa??Na kaptenyo komba!!
 
Atarudishwa kwenye ukuu wa mkoa si unaona kuna gaps ambazo zipo kwenye RCs hazijajazwa eg DSM
 
Huyu babu sasa atafanya kazi gani??Maana sioni wapi pakumuweka angalau amalizie siku zake zakuishi!!:doh::noidea:

atakwenda porini kulinda minara ya simu, maana nasikia kila palipo na mnara wa simu ni shamba lake.
 
arudi kufundisha somo ya siasa shule za msingi, asaidie kuwapa wanafunzi ukweli wa siasa na experience yake
 
kwa uvuaji gamba huu sinta shangaa akirudishwa kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam , kama vile pensioner mukama alivyo rejea maanake siunajuwa kujivua gamba kunafuatiliwa na kubalance equation YA MAKUNDI,hapa nikama kununua mswaki wakati unajino moja tu mdomoni
 
Hata mimi sintoshangaa kama akirudi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
 
akamsaidie BABU loliondo kugawa kikombe, atleast mchango wake kwa jamii utaonekana directly!
 
si ataendelea kuwa babake Januari na mwamvita au?
 
Huyu babu sasa atafanya kazi gani??Maana sioni wapi pakumuweka angalau amalizie siku zake zakuishi!!:doh::noidea:
kutokana na kauli ya mwenyekiti wa CCM Mh. J.K... inayohusu kuvua gamba... basi makamba ni Gamba lililovuliwa na CCM

i.e. Makamba ni Gamba
 
Hawa CCM wanatuzuga tu. Sitashangaa kama Jk ataamua kumpa nafasi moja wapo kati zile nafasi zake za zawadi ili akakae mjengoni (bungeni) na kupiga usinginzi + comedy!

Wooooote hawana maanaa....wanatuchezea akili kama vile sisi ni watoto wa wadogo!
 
Hata mimi nilikuwa nawaza kitu kam hicho kwani mimi sidhani watamwacha!!lazima wakampe hata kacheo!!
 
Huyu babu sasa atafanya kazi gani??Maana sioni wapi pakumuweka angalau amalizie siku zake zakuishi!!:doh::noidea:

Kwani kuna watu ambao wanatakiwa kufanya kazi hadi wafie kazini? Umri wa kustaafu kisheria ni miaka 60 na tayari Mzee Makamba alishafikisha huo umri
 
Back
Top Bottom