Injinia JF-Expert Member Feb 26, 2008 849 26 Mar 14, 2008 #1 Makamba baada ya kuchemsha ndio sasa anagundua kumbe Tabata issue ni ya kijamii na si siasa, karudi ofisini kaagiza mahindi, maharagwe na tank la maji vipelekwe Tbt! How cheap!
Makamba baada ya kuchemsha ndio sasa anagundua kumbe Tabata issue ni ya kijamii na si siasa, karudi ofisini kaagiza mahindi, maharagwe na tank la maji vipelekwe Tbt! How cheap!
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 13,447 10,009 Sep 17, 2021 #3 Makamba baba au mtoto?Hili bandiko la lini?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,634 697,916 Sep 17, 2021 #4 Haya makaburi yanafufuliwa kila upande ..halafu yote ni ya Pwani ya kiwengwa
Bushmamy JF-Expert Member Aug 18, 2019 8,848 15,252 Sep 18, 2021 #8 mugah di matheo said: Bushmamy jukwaa hili hapa Click to expand... Santee
Von Bismarck JF-Expert Member Jul 11, 2018 3,074 6,254 Sep 18, 2021 #9 Dunia ya sasa huwezi kuficha wala kujificha.. Watu wanafukua makaburi hatari
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,394 81,877 Sep 18, 2021 #10 Mshana Jr said: Haya makaburi yanafufuliwa kila upande ..halafu yote ni ya Pwani ya kiwengwaView attachment 1942082 Click to expand... Mbona hafanani kabisa na huyu Rugemalira wetu!
Mshana Jr said: Haya makaburi yanafufuliwa kila upande ..halafu yote ni ya Pwani ya kiwengwaView attachment 1942082 Click to expand... Mbona hafanani kabisa na huyu Rugemalira wetu!