Makamba aibuka



Spin master = flip flopper = Ndumilakuwili = asiye msimamo. Ona wenzetu wanavyoporomosha scorn huko.

Sisi ndio tunasifia?
 
Mimi nadhani kulikuwa na lugha gongana hapo kwa Kigwangala kumuita Makamba "spinning pro" :lol::lol:

Kwa sababu kwa tunaojua, kuitwa spin doctor, spinner, au "spinning pro" kama alivyosema mheshimiwa Kigwangala is hardly a good thing.
 
Wanangu, kumbe Makamba ni sawa na Kingunge, mtu mzima hovyo. Kwanini asitulie akatubia dhambi zake kwa maovu aliyowafanyia watanzania. Anapowalaumu watanzania anasahau kuwa naye ni mtanzania. Au ni yale yale kuwa roho yake iko kwao Burundi na mwili Tanzania? Makamba, umestaafu. Mzee mwenzangu kawalee wajukuu zako hasa huyo wa binti yako Mwamvita ambaye hata hivyo baba yake hajulikani. Kikwete atalaumiwa kwa vile ndiye aliahidi maisha bora kwa wote lakini yakaishia kuwa maisha bora kwa nyumba yake na wapambe na waramba viatu wake. Watanzania ni wachapa kazi ila
 
hahaaaah Makamba ndie mwanaccm mwenye akili kuliko woote ni role model wa wengi katika chama kile

Inaelekea ana "maono" sana kwenye mambo ya mlo!lol!
Maana huo ubwabwa hapo kulia siyo kwamba anaupita, ila anapanga strategy ya namna ya kumalizia ngwe kwa kutizama mbele, laiti vision hiyo ingekuwa kwenye uongozi wa Taifa, leo hii asingetapika haya...
 

Mkuu nakubaliana na wewe, watanzania ni wachapa kazi sana, wanavuja jasho sana lakini tatizo ni kuwa jasho lao linaliwa na wanasiasa. Ndio maana kila mtu anajitahidi kuwa mbunge au anatafuta urais kwa udi na uvumba. Kama tungekuwa na watu wanaoweza kuwapigania watanzania wale jasho lao, au kuwaongoza na kuwaelekeza namna ya kutumia jasho lao maisha ya watanzania yangekuwa bora kuliko yalivyo sasa.
 
Makamba anazungumzia experience yake ya wapi?Huko Tanga?

Kama ndo kuibuka huku kaibuka kizembe kabisa.
 
Haya ni maoni ya Mh H.Kigwangalla.Ndio wabunge waliochaguliwa
kujadili na kupanga mbinu za kunyanyua uchumi wa nchi.mawazo ndo haya. ....kweli tutafika.

Kigwangalla sio chagua la wanaigunga amewekwa pale; kauli zake zinajionesha wazi yupo kuwatumikia waliomuweka

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
hii ni matokeo ya elimu yetu, badala ya communication skills kufundisha namna ya kutoa taarifa katika jamii na kwa watu wengine inafundisha english language. sasa matokeo yake ni kama haya ya Dr. hamisi unajiropokea tu bila kujali madhara na uzito wa jambo. maanake ni nini kwamba media waendee kukomeshwa kwa kujibiwa ovyo
 
Always **** will produce craps. Huyu mzee amewahi kuongea jambo? Nina wasiwasi hata majirani hawatanufaika na uzee wake.
 
Acha wafu wawazike wafu wenzao...no more comment!
 
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
ooh dear! this is what u could say mheshimiwa? On such a crucial matter? And u being a representative of people (in your constituency at least)?
Sorry!
 

Kumbuka kidogo tu maneno ya Mwl J.K. Nyerere "mtu unapopewa kazi ya kuongoza watu lazima ujiheshimu,huwezi kupewa hiyo kazi halafu unafanya mambo yako kihunihuni".
 
fikira na busara za mtu mara nyingi huwa zinapimika kwa umri ....lakini kwa huyu mzee Makamba naona hafai hata kushauri wajukuu ....
 
Mimi naona mnapoteza muda kumuongelea Makamba utadhani hamjui kwani mlitegemea angesema nini cha maana,

Ndgu yangu Khamis mwanzoni nilikuwa ninamkubali sana lakini nimekuja kugundua ni mtu hovyo kabisa na analollisema siku zote si analomaanisha ni very mnafki sana huyo.
 

Needless to go to such personal detail sir for sure! And buys no sympathy for sure! Responsibility, accountability and delivery on the economy and people's welfare (uchumi na ustawi wa jamii) are basic yet critical duties of any responsible government! Si mambo ya propaganda za kisiasa kuahidi ovyo and then 'simply walk away in simple irresponsible comments like the ones being made today'! So it is a pity to see even the educated like you muheshimiwa cherishing that!

Ku wapi kuwajibika-kwa umma na kwa taifa? U wapi uzalendo wa kweli?
Ni aibu kubwa viongozi kuwa wazuri wa kuzungusha tu maneno bila kuwajibika! Badala ya kuyashabihikia haya tuone aibu na kuyakemea!
For the real good of our country!

So muheshimiwa, your comment was very disappointing for sure!

Given.
 
Hio signature yako imenikumbusha Mheshimiwa mmoja kwenye kitabu fulani hivi....ngoja waje watakusaidia kutaja hivyo vyeo...........

Si ni aina ile ile ya swagger....Idd Amin naye angekuwa member wa JF lazima signature yake ingekuwa His Excellency,Field marshal,mojor General,Conqueror Of British Empire,Alhaji,Dr Idd Amin Professor of Geography.......!
 
Kumbe chama huwa kinakuja na mbinu za kushinda na sio sera za kulivusha taifa katika mabalaa! Hii kali, na apo ayo manano yametoka kwa aliyekuwa mtendaji mkuu wa chama. Mungu ibariki Tanzania.

Sasa mawazo haya ndo yanaliongoza taifa
 
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!

Na wewe rudi kwenu ukaanze kuhangaikia watu wa Nzega, Nimepita njiani mashamba yote yamekauka na majani ya mahindi ukitia kiberiti inabidi uite fire! wewe umekalia kubwabwaja kwenye mtandao watu wako wanateseka bila Mbunge wao, au umelogwa na Bashe ili 2015 akupige chini kirahisi? anyway kwa vile sio kwenu basi poa mshikaji waache wanyamwezi waipatepate kwani walikula pesa zako wakati wa uchaguzi
 
ina maana yale maahadi yooote aliyo ahidi mheshimiwa ni changa la macho, kumbe alidanganya iliakae kule magogoni aendelee kutudanganya
****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…