Makamanda wanaopigania ukombozi kupitia mitandao kutambuliwa

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Makamanda tunazidi kuchanja mbuga! Katika hali isiyokuwa rasmi tumeona juhudi kubwa inayofanywa na watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hasa katika kunadi sera, itikadi na wagombea wa UKAWA, zaidi Rais mtarajiwa Mheshimiwa Edward Lowassa.

Naendelea kuwatia moyo kwa kuona umhimu wa mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu Tanzania na kuyapigania wenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Tutawatambua makanda wote waliopigana, lakini kimahususi, wale waliopigana kwa uzuri, weledi na kwa ukubwa zaidi kumi (Top Ten) walio katika daraja la juu kwa kuzingatia mitandao kadhaa ya kijamii. Maana kuna umuhimu wa kuwaenzi na kuwapa heshima ya kipekee mara tu baada ya kumaliza kazi.

Ukimaliza kazi, utavalishwa taji.

Kuwapongeza makamanda ni mkakati wangu binafsi.
 
Artificial makamanda ndo mnaendelea kuchanja mbunga, yaani unakaa na Lowassa upande mmoja alafu unadiriki kujiita Kamanda? mnafanya harakati zipi sasa ambazo babu yenu anazifanya ama mnataka na nyie mkagawiwe ng'ombe kwenye lanchi zetu alizotupora? kwantunawakumbusha mfanye haraka mkaitoe ile ghorofa yenu pale Ubungo la sivyo tutaing'oa asubuhi tarehe 26 oktoba na hatutawapa notice tena.
 
Wa waaaaa, asante sana mleta uzi manake wengine tumeamua kwa moyo mmoja kufanya kazi hii kwa kujitolea bila malipo yoyote, bila kushawishiwa na yeyote bali ni kwa mapenzi na nchi yetu
 
Makamanda tunazidi kuchanja mbuga! Katika hali isiyokuwa rasmi tumeona juhudi kubwa inayofanywa na watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hasa katika kunadi sera, itikadi na wagombea wa UKAWA, zaidi Rais mtarajiwa Mheshimiwa Edward Lowassa.

Naendelea kuwatia moyo kwa kuona umhimu wa mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu Tanzania na kuyapigania wenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Tutawatambua makanda wote waliopigana, lakini kimahususi, wale waliopigana kwa uzuri, weledi na kwa ukubwa zaidi kumi (Top Ten) walio katika daraja la juu kwa kuzingatia mitandao kadhaa ya kijamii. Maana kuna umuhimu wa kuwaenzi na kuwapa heshima ya kipekee mara tu baada ya kumaliza kazi.

Ukimaliza kazi, utavalishwa taji.

Kuwapongeza makamanda ni mkakati wangu binafsi.

Mmeanza kuota ndoto za kugawana vyeo!!??
 
MARUFUKU WaGOMBEA UKAWA KUSHIRIKI MDAHALO wa aina YEYOTE NA ADUI,fullstop.
 
Artificial makamanda ndo mnaendelea kuchanja mbunga, yaani unakaa na Lowassa upande mmoja alafu unadiriki kujiita Kamanda? mnafanya harakati zipi sasa ambazo babu yenu anazifanya ama mnataka na nyie mkagawiwe ng'ombe kwenye lanchi zetu alizotupora? kwantunawakumbusha mfanye haraka mkaitoe ile ghorofa yenu pale Ubungo la sivyo tutaing'oa asubuhi tarehe 26 oktoba na hatutawapa notice tena.

tulia watu tupige kazi wewe
 
mm huu ni msiba kwako hakuna jinsi ulianzisha mageuzi ukashindwa kuyasimamia. shukrani kamanda naona unakata tamaa
 
Artificial makamanda ndo mnaendelea kuchanja mbunga, yaani unakaa na Lowassa upande mmoja alafu unadiriki kujiita Kamanda? mnafanya harakati zipi sasa ambazo babu yenu anazifanya ama mnataka na nyie mkagawiwe ng'ombe kwenye lanchi zetu alizotupora? kwantunawakumbusha mfanye haraka mkaitoe ile ghorofa yenu pale Ubungo la sivyo tutaing'oa asubuhi tarehe 26 oktoba na hatutawapa notice tena.[/Q
mabadiliko yanakuja kwa mapigo mbali mbali, imefika hatua kila mtu amechoshwa na ccm, ccm imewasaliti watanzania, kila mtanzania ananunguka hata wewe unanungunika, lakimi naami i wakati utasema watanzamia wataamua na Lowasa atashinda
 
Makamanda tunazidi kuchanja mbuga! Katika hali isiyokuwa rasmi tumeona juhudi kubwa inayofanywa na watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hasa katika kunadi sera, itikadi na wagombea wa UKAWA, zaidi Rais mtarajiwa Mheshimiwa Edward Lowassa.

Naendelea kuwatia moyo kwa kuona umhimu wa mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu Tanzania na kuyapigania wenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Tutawatambua makanda wote waliopigana, lakini kimahususi, wale waliopigana kwa uzuri, weledi na kwa ukubwa zaidi kumi (Top Ten) walio katika daraja la juu kwa kuzingatia mitandao kadhaa ya kijamii. Maana kuna umuhimu wa kuwaenzi na kuwapa heshima ya kipekee mara tu baada ya kumaliza kazi.

Ukimaliza kazi, utavalishwa taji.

Kuwapongeza makamanda ni mkakati wangu binafsi.

Na usitukimbie baada ya tarehe 25 Oct
 
Back
Top Bottom