Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Hivyo siyo vigezo vya ununuzi wa covid 19 kwanza ni matumizi ya pesa za walipa kodi
 
Paskal mayala anasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani hawezi kupata uteuzi kwa utetezi wake wa kipumbavu hivyo
 
Uchaguzi ulikuwa wa haki na huru?

Umejibu hili?
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
 
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM hakuna haki huko
 
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
Mimi naongelea facts, si speculations na utabiri.

Natumaini unaelewa tofauti.

Uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru na wa haki?
 
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
Hakuna uchaguzi 2020 kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani uwe umezunguka kusadia uchakachuaji wizi wa kura huwezi kusema lazima utawatetea CCM kwani wewe tayari kichwani unasaka uteuzi kwa udi na uvumba
 
Mimi naongelea facts, si speculations na utabiri.

Natumaini unaelewa tofauti.

Uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru na wa haki?
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 

Mkuu walipowafukuza kina Membe nao ulikumbuka kuwakumbusha mboga mboga walipomtokea Kachero mbobezi? Au na hili waligeuza kuwa fursa kwako pia?
 
Nape makamba wenye uchungu na CCM walidhalilishwa mno na CCM ya mtukufu chini ya ushauri wa cyprian Musiba na le mutuz
 
Kwa taasisi makini ni ngumu kama wangebaki. Ajaribu vile mtu wa CCM kama atabaki. Kwa ukweli wapo ambao waliipigania CDM kwa jasho, lakini changamoto kubwa ni kweli CDM hawakutoa majina kwa NEC, je nani aliyapeleka? Sahihi ya nani? Kama ilighushiwa huoni tayari ni jinai?
Anyway, wana SIASA wenyewe wanajuana.
 
Wabunge wa CCM siyo wakilisha wa majimbo kwani hakuna aliyewachagua bali NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm ndiyo wamewazawadia ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Kujifanya mtu fulani wakati siyo ni kutekeleza sheria zipi,za awamu ya 5 za kubumba??? Hawajateuliwa wala kupendekezwa na CDM! Kama ni kuteseka au la hiyo imeshakuwa historia.Atakumbukwa kwa hilo na hili pia la usaliti.

Kuita watu "sisimizi"hakutabadii chochote.Kama unaweza wabadili ili wawe watu wakufanyie kazi uwe trilionia. Na inaonekana imewauma sana Lissu kuwaachia "manyoya!".Hiyo ndiyo maana ya akili kubwa.Si TISS,POLICCM,IKULU,MAHAKAMA n.k anayeamini kilichotokea.Wanajiona wajingaaaa. Acha muisome mamuma nyie.IT WILL TAKE YOU A CENTURY TO BE EQUALS OF "THE ONE!"
 
Paskal ni Mapooza siku hizi. Yuda alikuwa mwanafunzi wa YESU aliposaliti nini kilitokea kwake?. Njaa mbaya sana.maana si Kwa kujitoa ufahamu kiasi cha kuwa Zezeta wa kiwango hiki.
 
Cha ajabu na kibaya zaidi ni CCM kuwa mbele kuwatetea covid 19 isivyo kawaida, CCM sasa ni wasemaji wa chadema na CCM wengine tayari ni michepuko na covid 19 akiwemo Paskal mayala ambaye sasa anaishi nyumbani Kwa Halima mdee
 
Paskal ni Mapooza siku hizi. Yuda alikuwa mwanafunzi wa YESU aliposaliti nini kilitokea kwake?. Njaa mbaya sana.maana si Kwa kujitoa ufahamu kiasi cha kuwa Zezeta wa kiwango hiki.
Nadhani Paskal mayala anavuta Bangi maana sasa uwezo wake wa kufikiri ni wa hovyo mno
 



Mbowe anaiua chadema kwa uroho wa madaraka.
Mbowe na chadema walishauriwa kwa wema kabisa na Mh. Rais wakati alipokua anazindua bunge mwaka 2015 ,kuwa wajenge makao makuu ya Chama Dodoma kwani yupo tayari kuwapa Eneo.
Pamoja na kwamba walitoka bungeni lakini alitoa kauli iliyoashiria kuwa anataka ustawi wa Chadema.
Cha ajabu badala ya Chadema kujenga miundo mbinu ya Chama ikabaki kuwa Chama cha kuwafukuza watu wenye mawazo tofuti na Mbowe.

Matokeo yake Chama kimekufa na kitafutiliwa mbali bila kuacha hata ofisi yake ya makao makuu ya chama.

Wasomi wote wanakiogopa hicho Chama wakati enzi za kina Zito wasomi waliona fahari kukiunga na Chadema. Wakati wa Halma Mdee wakina mama wakajiona fahari kujiunga na Chadema.
Mbowe anaona kuwa kukipigania Chama ni kumtukana Rais tu.
Amefukuza wasomi wote na sasa anafukuza wanawake jasiri waliopigania chama kwa jasho na damu.

Karma,karma ,karma.
Sio muda mrefu hukumu ya nguvu za asili itamfikia Mbowe akiwa kwenye Ofisi isiyo na Bendera ya Chama cha siasa, labda NGO kama TAWLA.
 
Hakuna cha Karma "Uzuri wa mtu msubiri mwisho wake" kama amesaliti dawa ni kutolewa tu akina Halima mdee wamejaa tele wapewe tu nafasi.
 

Nilisikia siku moja rais akisema mayala manaana yake ni njaa! Nenda ukale kwanza umeekaaa mda wote huu ukaandika upupu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…