Tatizo ni ceremonial post mkuu nothing elsePolisi wetu wanafanya kazi kama vile RPC wa Iringa na Dar wako nchi tofauti. Huyu RPC wa Dar weledi kautia mfukoni ni kama vile anataka kuthibitisha madai ya Makonda na Meigulu. Mambosasa amekubali ku-compromise na wanasiasa na atajikuta anapelekeshwa na interests za wanasiasa.
Vv
Eti ana PhD ya nini vile?Kumbe hiri rigeshi rinaweza kucheza bongo movie na ikauza kushinda Kanumba...
Ya uchunguzi wa kisayansi!Eti ana PhD ya nini vile?
Si ya transcript writing and movie making kweliYa uchunguzi wa kisayansi!
Wanaumbuka
Ukiwa muongo angalia mambo mawili....Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu