Makamanda wa CHADEMA ndani ya Songea mda huu

Majibu
R.mtema
1.Ujasiri sio lazima utolewe elimu ila ata kwa matukio yanayoendelea mpaka sasa wananchi taratibu watakua wanapata ujasiri.
2.cdm tutajitahidi kadri ya uwezo wetu wote kuwatetea kisheria wale wote watakao kua wakikamatwa katika harakati hizi
 
R.mtema
Nawapongeza wote mlio sema mko tayali ata kufa kwa ajili ya harakati hizi nilazima wawepo watakao jitoa kwa ajiri ya haki ya wengine ata sisi viongozi wenu tumejitoa zaidi
 
R.mtema
Majibu
1.tumekua tukiwajibishana ndani ya chama kwa kupitia vikao vya chama na taratibu zake.mfano tulimwajibisha kafulila na sasa kuna tume inayo shugulikia swala la Shibuda
 
R.mtema
Majibu
Kuhusu vyama vya kijamii tunaendelea kushirikiana ila inaitaji kua makini wakati mwingine
Mfano Deusi kibamba alionesha harakati ila badae kalegeza ila ata ivyo wengi wao tunashirikiana na ata wengine mawazo yao ndio tunatumia
 
R.mtema
Majibu
1.nikweli sheria imepingana na katiba hii tuliyonayo kuhusu haki ya kutoa mawazo yetu ivyo ilo atalipeleka makao makuu kuona namna gani wata watashugulikia kisheria
 
Anamalizia mada ya mwisho.katibu wa jimbo la kawe kwa kutoa namna kazi za chama zitakavyokua zikiendeshwa na ana sisitiza kwa sasa ni kazi tu na dk.ataanza kuzunguka kila kona na akikuta akuna uwajibikaji ujue kazi una sasa tunataka makamanda wa kweli.
 
Wakuu kwa leo naishia hapa ponge.maana na majukumu mengine ila R.mtema yupo juu katika kujenga chama
 
skendo,
leo umenipa matumaini mapya kupitia report yako yanayoendelea huko Songea.
Endelea kutujuza mkuu, tunakusikia..
 
Acha kupotosha maana ya neno "kamanda". Viongozi wa chadema hawana hadhi ya ukamanda.
 
R.mtema
Nawapongeza wote mlio sema mko tayali ata kufa kwa ajili ya harakati hizi nilazima wawepo watakao jitoa kwa ajiri ya haki ya wengine ata sisi viongozi wenu tumejitoa zaidi

amejitoa ktk kupokea posho za kuandaa maandamano. Hana lolote huyo.
 
Makamanda wapo ndani ya Songea wakitoa elimu juu ya katiba mpya na uraia,kikao kitaanza mda wowote toka sasa.nitaendelea kuwa julisha yanayo jili watu ni wengitu hapa ukumbini. nikipata chance nitarusha picha
Kamanda weka picha basi Mkuu.Asante kwa kuanzisha sredi na kuandikia kilichojili kwa ufupi.Barikiwa sana!
 
Aisee, huko siko kwa kwenda. Hawa Maaskofu wana nguvu mno, Chadema isipotoke na kufikiri inaweza ikapambana nao. Kama CCM inawatumia, basi nao pia wawatumie.

Maaskofu wamedanganyika lakini wewe usidanganyike. Ukweli na haki vitasimama vyeyewe bila kumtegemea Askofu. Hao maaskofu wameegemea mti unaotaka kuanguka waache waanguke nao.
 
naona huu ni mkakati wa kitaifa hapa Mby alikuwepo SUGU, BASIL LEMA, DAVID SILINDE.na NAOMI KAILUKI
hoja ni zile zile
 
Kwa hakika Kongamano lilikuwa zuri sana,watu wamejitokeza kwa wingi na walikuwa wanakiu sana ya kuijua Sheria hii ya Mabadiliko ya Katiba 2011 na msimamo wa CHADEMA.Tunaelekea kumaliza.Kesho tutakuwa Na mkutano wa hadhara hapa Songea Mjini.Aluta Continua!
 
Kwa hakika Kongamano lilikuwa zuri sana,watu wamejitokeza kwa wingi na walikuwa wanakiu sana ya kuijua Sheria hii ya Mabadiliko ya Katiba 2011 na msimamo wa CHADEMA.Tunaelekea kumaliza.Kesho tutakuwa Na mkutano wa hadhara hapa Songea Mjini.Aluta Continua!

Mao acha alishababu kwa hela,bado tunawahitaji jamani msicheze na alshababu ama kulikuwa na ulinzi wa kutosha?
 
Mkuu ni mkakati wa Chama nchi nzima.Kila Mkoa umepelekea Wabunge/Mbunge na Makongamano yamefanyika nchi nzima.
big up
vipi mahudhurio ya watu huko hapa Mby tumemaliza kwa swaga la nguvu

  • watu waliojioresha ni 1020 kwa mjibu wa Sugu
  • Tumechangia ujenzi wa ofisi /ununuzi wa gari la matanangazo
  • vipi huko mbali na elimu nini cha ziada kilichofanyika ??
 
Back
Top Bottom