Makamanda wa CHADEMA ndani ya Songea mda huu

Hahahahah mkuu hapo number 6 umeongeza chumvi au ni ukweli??mke CUF anaweza kusema hivyo??labda ni ukweli lakini hatuwezi jua.....yeah waendelee hivyo hivyo na tutawapa support yetu pia.....
 
wanafundisha kwani wao ni walimu?basi wafungue shule kabisa tujue moja.

Kwani kila anayefundisha ni mwalimu? Unataka kutuambia kwamba wale bibi vizee wanaowavunda watoto wa kike kabla ya kupelekwa tohara ni waalimu. Angalia mkuu isije ikawa umevaa miwani tilted halafu yote ni ya kushoto. VIVA CDM tuko pamoja mpaka ukamilifu wa dahari!!!
 
R.mtema
1.kuna baadhi ya sehemu Zanzibar Tundu Lisu kaambiwa hapaswi kwenda ila wao km cdm wataendelea kuusema ukweli ambao ccm wameuficha kwa mda mrefu sasa ata kama utawaumiza wa Zanibar ama wa Tanganyika
 
R.mtema
1.sipka alipo zuia wao kutoa maoni yao ndio maana walitoka Bungeni maana wako pale kufanya kazi sio kuuza sura
2.baada yakutoka bungeni wakaamua ajenda isiwe ya wabunge tu ndio maana wakakutana na kamati kuu ya chama na kamati kuu ikaelewa na ndipo likaja swala la kwenda kumuona rais.ikaundwa kamati ya kumuona rais
 
R.mtema.mapende kezo waliyo pelekwa kwa Rais
1.kumuomba asisaini mpaka yarudishwe Bungeni
Jibu.itabidi nisaini maana wabunge wangu awatanielewa na watanichukia ila ili lisiwape tabu tutaenda kufanya marekebisho bunge lijalo
 
Makatibu wote wa majimbo wamepewa copy ya yale waliopelekwa kwa Rais
 
Makatibu wote wa majimbo wamepewa copy ya yale yaliyopelekwa kwa Rais
 
Katibu wa kawe anayasoma na kufafanua yale yote yaliyo kwenda kujadiliwa na cdm ikulu
 
Wazanzibar tayali wana jeshi lao(jeshi maalum)tanganyika lenu linaitwaje?Maana lililopo nila jamuhuri ya muungano wa Tanzania
 
Kwenye bunge kuna viti maalum vya wanawake,Kwani na kwenye mchakato wa katiba Zar wamepewa viti maalum
 
Ni vizuri kama tutapata kadiri mtoa mada/elimu asemavyo, nahofia ikiwekwa chumvi itapoteza maana nzima. Viva Regia viva!!!!
 
Katibu wa kawe
Endapo utakutwa unajadili mjadala wa katiba mpya.adhabu ya kifungo itakukabili ama faini kuanzia milioni5.hii ndio sheria iliyopo kwenye mswada wa sasa.je wewe apo ulipo unalijua hili?
 
R.mtema.mapende kezo waliyo pelekwa kwa Rais
1.kumuomba asisaini mpaka yarudishwe Bungeni
Jibu.itabidi nisaini maana wabunge wangu awatanielewa na watanichukia ila ili lisiwape tabu tutaenda kufanya marekebisho bunge lijalo

Again nimetoka kusema huko kwamba hii nchi inaendeshwa na watu na sio mtu si mnaona sasa??eti wabunge wake watamuona vibaya ina maana kwa nini Kikwete alienda Ikulu kuuza sura na kutuibia wananchi au nini?yeye anashindwa kuchukua uwamuzi mgumu kama huu ataweza kuwavua watu magamba au wala rushwa ataweza kuwashughulikia??kwa kweli mungu isaidie Tanzania Mungu tusaidie wananchi yaani Rais anafanya vitu kwa kuogopa watu fulani akili finyu hizi....
 
wanafundisha kwani wao ni walimu?basi wafungue shule kabisa tujue moja.

kufundisha sio kwamba uwe mwl bali ukiwa na weredi wa kitu furani na anakijua kwa ufasha basi unaweza toa darasa.ata wewe,unawe toa elimu kwa kile kinachofanyika jf.kama hujui basi upashwi kuwa member,msomaji wa habari hence wewe ni zuzu+mbumbumbu!
 
Hahahahahaha!sasa washiriki wote wanagonga vyoda bana.(soda)
 
Katibu wa kawe
Endapo utakutwa unajadili mjadala wa katiba mpya.adhabu ya kifungo itakukabili ama faini kuanzia milioni5.hii ndio sheria iliyopo kwenye mswada wa sasa.je wewe apo ulipo unalijua hili?

Ina maana wananchi hawapaswi kujua kuusu katiba mpya kama hawajaielewa si ndio??au sijaelewa vizuri??na kama answer wanapswa kufahamu sasa why isijadiliwe naona wanajitahidi sana kutaka kuwakata watu tamaa....na still wanataka kutuendesha kama watoto yaani tukae tuangalie tu.....
 
Amam kweli kazi ipo, kwa maelezo hayo machache tu, elimu ni muhimu sana kwani hatukuyajua haya. Sasa wale ndugu zangu wa pale Kilombero si ndio wanaumia kwani hamana hili wala lile. Endelea kutujuza ndugu yangu yanayojiri huko.
 
Kama ilivyopendekezwa kwamba elimu ifike hadi ngazi ya kijiji naafiki, CDM nendeni ili watu waujue ukweli na hatimaye wawe huru kwa hiyo kweli. Mungu bariki watu wako ambao wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Back
Top Bottom