kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
Tulieni safari mmeshikwa pabaya kimya hatusikii fyoko!Angalieni yenu mnadhihirisha mlivyowauaji mpaka kwenye chaguzi za ndani mnapuliziana sumu
Mlikopata kata moja ni zambia na hamkupambana na ccm!CCM bila "mbeleko" ya Polisi ni wepesi zaidi ya karatasi ya tissue!
Akili ni nywele naona wewe ni 1/4Mlikopata kata moja ni zambia na hamkupambana na ccm!
Mbeya oyeee,wangejaribu kutupiga tuwaonyeshe ,chezea mbeya weweMlikopata kata moja ni zambia na hamkupambana na ccm!
Kwani ccm ina kundi la wahuni kama chadema!Mbeya oyeee,wangejaribu kutupiga tuwaonyeshe ,chezea mbeya wewe
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,
makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo
Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi
Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!
Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
Elimu ya hapa na pale jimbo la ubungo!Mbona hujui kuandika,???
Mzee wa elimu ya hapa na pale ndo kapotezwa kabisa!Elimu ya hapa na pale jimbo la ubungo!
Weeeeeeee polisi walivyo jeruhi raia vile unadhan watakuwa na nguvu itoke wapi huku polisi wanawakamata huku greenguard wana washambulia na mapanga na kuwateka ?? Ngoja wawatibu majeruhi kwanz maan ile ilikuwa vita sio uchaguziMakamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,
makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo
Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi
Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!
Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
Kwa majeraha waliyo yapatankupigwa na polisi na green guard namna ile unadhan wafanyeje sasa , ? Hakika polisi wamefanya kazi sana awamu hii ya uchaguzi nadhan lkuliko hata greenguard wenyewe wwnye chama.Kuambulia kata moja hakika kumewanyong'oneza
Naamini kweli ukiwa cccccm utu nuakutoka,unapata upofu,unakufa ganzi ,akili hupotea,uwezo wa mawazo na kujenga hoja hupotea inabaki tu kusifia na kupongeza hata choo unaita sitting.Duuuu!!!Mlikopata kata moja ni zambia na hamkupambana na ccm!
ndugaiii alimpiga mwenza wake ktk uchaguzi wa ndani nusu amuue,sasa je kwa upinzani itakuajee??Kwani ccm ina kundi la wahuni kama chadema!
msitu umetiwa moto hawajui wafanyaje kamba shingoni fimbo matakoni!Makamanda hawana sera